Lmntrix
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 570
- 408
Hahaha ni lazma kujua una deal na mtu wa aina gani..Dah kumbe na ww unayo maswali kama yangu
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app
Hahaha ni lazma kujua una deal na mtu wa aina gani..Dah kumbe na ww unayo maswali kama yangu
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Kama wewe ni mhenga utakubaliana na mimi "ngoja ngoja huumiza matumbo"Unaomba lkn angalau mzoeane kidogo
Angalau muwe mnasubir zipite siku kadhaa kama enzi zetu wahenga

Huwa wanaomba kwa sababu huwa hamuoneshi future sasa wanajua unaweza ukapitiwa pitiwa hivi hivi bora nipate ya kununulia hata yeboyebo (viatu)Mbona grls kwenye kuomba hela wala hawana subira.... twende sawa. Kula mzigo fasta.
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Hahahahaha... kwa hyo hapo ni kuliana timing... maana boy ukicheza utapigwa hela na mzgo haupati wanakula wengine..... kwahyo lazima ung'ang'ane fasta fasta mengine baadae . Jokes.Huwa wanaomba kwa sababu huwa hamuoneshi future sasa wanajuajua unaweza ukapitiwa pitiwa hivi hivi bora nipate ya kununu yeboyebo (viatu)
swali swafiiiiKwanza nikuulize we ni ME au ni KE?!
Sent from my VF695 using JamiiForums mobile app