Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,501
wanaudhi sana
Tunaudhi vipi wakati raha tunapata wote buanawanaudhi sana
Ujue mwanamke usipomharakishia mgegedo anajua umempenda kwa dha
Sasa Angalau huyo kasubiri miezi mitatu sasa wanaume wa dotcom anataka kanitongoza jibu apate ndani ya siku tatu na mgegedo kabisa uwe tayariKwa wastan mwanaume asie mlokole anaweza kukusubiri kwa mwezi hadi mitatu. Zaidi ya hapo huko ni kumtesa tu na uzuri ni kwamba hata dem mwenyewe vitakuwa vimeshamuwasha.
Na asipokuomba papuchi useme alikuwa anakujaribuYani mwanaume akikubaliwa tu siku hiyohiyo anataka issue