Wanaume na haraka ya ngono

Wanaume na haraka ya ngono

Nilimix mafail mkuu samahani .
I thought wewe ndie mtoa mada ulinivoquote nikajua ni spirit ndo nimesoma tena uzi

Na ndio maana kuna post nimekujibu kuwa kwani wewe unataka usubiriwe kwa muda gani mamaa???

It wasn't my intention to abuse you friend sorry once again.

Cc Smart911
Don't give to many sorry... Moja inatosha...
 
fasta ili kama ulitaka kugeuza ATM uwe umelewa

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Yani mwanaume akikubaliwa tu siku hiyohiyo anataka issue
Sasa kama umeshamkubalia kwa nn aendelee kusubiri? Kwani huo ni mtaji eti unasubiri uendelee kuongezeka kabla ya kuutumia?.

KE msiwe wasumbufu kama umemkubalia achia papuchi sio unazungushazungusha mwishowe utaachwa
 
Nikuongeza Hekima....

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
I love Smart911 I can't resist..

Anyway sorry,, wanaume Mkuje kujibu kesi yenu hii
And i love you mahondaw wangu... Even i, whenever we meet lazima to duu.. Hatujawahi kaa na kuchill tuu...

But kiuhalisia hapa duniani tupo kwa mission tatu tuu...
1. Kuzaliwa
2. Mapenzi
3. Kifo.
 
Habari zenu waungwana!! Nina swali moja leo kwa wanaume. Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi? Karibuni kwenye mada
Mbona nyinyi mna haraka ya pesa zetu na hatuwasemi?
Nyinyi hamjisikii vibaya kuchuna kila mwanaume?
Kwanini mkitongozwa tu mnaanza kulia shida? Ina maana kweli nyie wote ni yatima?

Karibu kwenye mada nawewe
 
And i love you mahondaw wangu... Even i, whenever we meet lazima to duu.. Hatujawahi kaa na kuchill tuu...

But kiuhalisia hapa duniani tupo kwa mission tatu tuu...
1. Kuzaliwa
2. Mapenzi
3. Kifo.
Thanks Smart911 Wangu love you more beibee

Mtoa mada ajue tu kuna vitu haviepukiki kabisaa.... Eti mmekutana mkakaa tu kweli kweli kweli Spirit kweli??

Afu wengine unaeza jipotezea bahati bure
 
Ulimkubali ili uwe unaenda kwake kucharge simu??

bepari
 
Habari zenu waungwana!! Nina swali moja leo kwa wanaume. Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi? Karibuni kwenye mada
We unataka uniombe wewe tu nikikuomba Mimi nongwa
 
Yani mwanaume akikubaliwa tu siku hiyohiyo anataka issue
Kwani kumpa siku hiyo hiyo na kuchelewa kumpa inabadilisha kipi hasa? Kama nia yake ni kupiga chata hata ukimcheleweshea simulation ukimpa atapiga afu atasepa zake

Sent from my HTC_M910x using JamiiForums mobile app
 
yan hapa kuna mtt nilimpanga akajaa nkamumba game akanichomolea eti ndo kwanza hata wiki haijapita nivumilie anijue fresh dah kishngo upande nikaitikia poah
cha ajabu ndani ya hio hio wiki kanipiga kizinga cha sijui amepungukiwa na kodi kwenye txt nilichokifanya kwanza nikacheka kwa dharau then nikadelete na namba hapo hapo
yan sex hutaki mpaka tuzoeane kizinga anapiga kwa txt kavu kavu yan

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Mwambie asubir mzoeane ndo umpe pesa za kodi
 
Back
Top Bottom