Wanaume na haraka ya ngono

Wanaume na haraka ya ngono

Habari zenu waungwana,

Nina swali moja leo kwa wanaume;

Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi?

Karibuni kwenye mada
Mkishakuwa wapenzi , kinachofuata ni kukutana faragha maana mtakayozungumza hayawahusu watu wengine maana yanakuwa ya aibu kwa wengine.
Sasa nyingi si wakubwa na faragha umeenda nn tena acha utoto
 
Habari zenu waungwana,

Nina swali moja leo kwa wanaume;

Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi?

Karibuni kwenye mada
Samaki akishavuliwa kutoka baharini au ziwani sharti aliwe asije akaharibika
 
Habari zenu waungwana,

Nina swali moja leo kwa wanaume;

Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi?

Karibuni kwenye mada

Papuchi huwa zinazeeka kila saa na kuwa ngumu sasa tunataka tuzile haraka wakati zikiwa hazijaanza kuchoka
 
Kwanza nakuuliza wakati unatongozwa na kukubali ulitaka ufanyiwe nini zaidi ya kwenda kwenye point maana point hapo ni kuliwa sasa unataka ihifadhiwe unataka iive kama ni mbichi ? Anaekutongoza kasimamisha anataka mzigo kama angekuwa na haraka angekubaka

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Hahhaha, umenena mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AKISUBIRI MWEZI,MARA WANAUME WA DAR,MARA HILI MARA BORA NIKAMCHUKUA MWANAUME MKOANI,NYIE WENYEWE MNAELEWA UTAMU WA HIZI MABOZ
 
Habari zenu waungwana,

Nina swali moja leo kwa wanaume;

Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi?

Karibuni kwenye mada
Hahaha
 
Back
Top Bottom