Wanaume na haraka ya ngono

Wanaume na haraka ya ngono

Nimekusamehe kabisa ila ukirudia nakuoa ili ujue kweli mi dume
Nilimix mafail mkuu samahani .
I thought wewe ndie mtoa mada ulinivoquote nikajua ni spirit ndo nimesoma tena uzi

Na ndio maana kuna post nimekujibu kuwa kwani wewe unataka usubiriwe kwa muda gani mamaa???

It wasn't my intention to abuse you friend sorry once again.

Cc Smart911
 
Ucjali Mkuu nimekusamehe pia nimekuelewa sana
 
Nilimix mafail mkuu samahani .
I thought wewe ndie mtoa mada ulinivoquote nikajua ni spirit ndo nimesoma tena uzi

Na ndio maana kuna post nimekujibu kuwa kwani wewe unataka usubiriwe kwa muda gani mamaa???

It wasn't my intention to abuse you friend sorry once again.

Cc Smart911
Eeh...sorry agein!!

Makinikia
 
Habari zenu waungwana!! Nina swali moja leo kwa wanaume. Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi? Karibuni kwenye mada
We mpe tu bhana!!
 
yan hapa kuna mtt nilimpanga akajaa nkamumba game akanichomolea eti ndo kwanza hata wiki haijapita nivumilie anijue fresh dah kishngo upande nikaitikia poah
cha ajabu ndani ya hio hio wiki kanipiga kizinga cha sijui amepungukiwa na kodi kwenye txt nilichokifanya kwanza nikacheka kwa dharau then nikadelete na namba hapo hapo
yan sex hutaki mpaka tuzoeane kizinga anapiga kwa txt kavu kavu yan

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi sina tatizo na kusubiri, ila shida yangu kwa Mademu ni pale ambapo anaponizungusha wakati najua kabisa kuna jamaa alikuwa anakula, sasa kwa nini yeye ampe halafu mimi anizungushe? Hapo ndipo shida yangu ilipo, kama demu angekuwa hagongwi hapo sina shida ya kusubiri au hata kusumbuliwa lkn kusumbuliwa na demu ambaye najua fika kuna jamaa anakula hapo kwangu ni pagumu, nashindwa kuelewa!
Kumbe wewe ni mwanaume aisee tafuta basha mkuu..

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
We unapoomba hela za nanihii una subira kweli

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu waungwana!! Nina swali moja leo kwa wanaume. Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi? Karibuni kwenye mada
Sasa kwann tuchelewe? Unatongozwa ili muwe wapenzi. Yani mfanye mapenzi. Kipi huelewi hapo

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ukitongozwa unadhani nini nataka zaidi ya uchi wako?
 
yan hapa kuna mtt nilimpanga akajaa nkamumba game akanichomolea eti ndo kwanza hata wiki haijapita nivumilie anijue fresh dah kishngo upande nikaitikia poah
cha ajabu ndani ya hio hio wiki kanipiga kizinga cha sijui amepungukiwa na kodi kwenye txt nilichokifanya kwanza nikacheka kwa dharau then nikadelete na namba hapo hapo
yan sex hutaki mpaka tuzoeane kizinga anapiga kwa txt kavu kavu yan

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Hiyo ilikua jaza ujazwe mkuu hakutaka kutoa bure
 
Back
Top Bottom