Sijawahi tongoza nikatoka salamaWachache sana inateinatemea na malez siiwanawake wote ombaomba
Unatakiwa ujihakikishie nafasi yako mapema, hawakawii kukuita mpenzi mtazamajiUjue mwanamke usipomharakishia mgegedo anajua umempenda kwa dha
Tatizo ni ke; siyo me kwanini akubali kuonesha ishara ya kukubali?Habari zenu waungwana!! Nina swali moja leo kwa wanaume. Hivi ni kwanini wanaume huwa hamna subira? Ukishamtongoza tuu mwanamke akionesha kukubali tuu tayari unataka mkananihii kwani nyie huwa hamjali maisha yenu? Au hamjisikii vibaya kunanihii na wanawake wengi wengi? Karibuni kwenye mada
Unakuwa umemkunalia kufanya nini na kwa nini ukubali halafu uzingie. Mi huwa nakimbia nikiona kidemu kinakubali halafu kinaanza sound mara kanaanza kupiga vibomu kibao ksa kukupima... toa mzigo ukishakubali acha mbwembweYani mwanaume akikubaliwa tu siku hiyohiyo anataka issue
Wewe unampendea nini mtu ikiwa hujamjua na kumsoma vema ? Lazima viliwe wakati mnatafutana huko kwenye Upendokumbe huna upendo wewe ni msafisha rungu
Unajua sababu iliyonifanya kusema hii ni kesi lakini ??Wala sijaona kesi bado hapa blaa blaa tuu
Kivipi Mkuu hembu ni panue ki akiliUjue wanaume wengine huwa mnalazimisha kuchunwa mnaweka mazingira wenyewe
Kuna tatizo kiukweli wanaume tunalalamikia wanawake na wanawake wanalalamikia wanaume sasa sijui nini kifanyike Mkuu maana ni janga siku hizi hakuna ndoa kilichobaki ni kufichiana aibu ndo pale wanaoshindwa wanakimbizana hivyo ndio inatokea watu wanawaza mapenzi tuUnajua sababu iliyonifanya kusema hii ni kesi???
Anyway wengi wao ndoivo mamaa kati ya kumi labda mmoja ndo unakuta mvumilivu other wise.... Wanaona kama tunazingua. Ukubali ukatae zama zimebadilika
Cc Smart911