Wanaume msipoacha kuringia uchache wenu mtabaki wenyewe!

Wanaume msipoacha kuringia uchache wenu mtabaki wenyewe!

Yani kama Mimi naringa balaa.Wadada wengi sn wananililia et niwaoe.Sina tatizo, swali ni je,wao wana sifa hizo za kuolewa?
Ndo maana tunawaangalia tu,kwani tabia na mwenendo sio

Yani kama Mimi naringa balaa.Wadada wengi sn wananililia et niwaoe.Sina tatizo, swali ni je,wao wana sifa hizo za kuolewa?
Ndo maana tunawaangalia tu,kwani tabia na mwenendo sio
Wapi nisingetoa huu uzi ungejishaua saa ngapi?
Nyie ni wale wale hakuna lolote?
 
Hivi wanaume kwanini mnaringa siku hizi mara simtaki huyu mara naoa mke mrefu mara humtaki huyu unamtaka huyu?

Mwishowe mnaoa majini iko siku mtagegeda majini na malaya tu. Seriously mtabaki wenyewe.

Juzi hapa mtu aliringa leo kaja analia. Acheni kuringa, duniani wapo watu wengi sio Tanzania tu.
Kuna nchi nyingi sana wanaume wapo.
Huu ni mwanzo tu picha yenyewe bado...
 
Sijatemwa wala ila nasoma uzi mbalimbali mimi zimenichosha mnabagubagua sio fresh mnaringa kama kuna lolote zaidi ya vibamia na mkiwa na kubwa mnatuumiza au hamna matunzo mnakera tu na ukiona wachaguzi wakiivyo hawana hela nikisomi tu wanacho wanajifanya wanajua wananunuliwa bia tu wee waache hata kama wanayo ni wazinguaji tu hawana lolote hawajui mema wala mabaya wapo tu
Tema mate tumchape...
 
Wanawake mkiendelea kujirahisi kwawingi wenu mtaishia kila mwaka Kwenda kutushtaki kwamakonda
 
Hivi wanaume kwanini mnaringa siku hizi mara simtaki huyu mara naoa mke mrefu mara humtaki huyu unamtaka huyu?

Mwishowe mnaoa majini iko siku mtagegeda majini na malaya tu. Seriously mtabaki wenyewe.

Juzi hapa mtu aliringa leo kaja analia. Acheni kuringa, duniani wapo watu wengi sio Tanzania tu.
Kuna nchi nyingi sana wanaume wapo.
Umekutana na mvulana, real man hatunaga swaga hizo.
 
SASA KAMA NA NYIE MNATAKA WENYE PESA TUU NA KUTUTUPA MBALI KABISA TULIO NA KIPATO KIDOGO (TULIO MASKINI), WEWE UNATAKA IWEJE ? SI LAZIMA HAO WENYE PESA WAWARINGIE TUU ? MBONA SISI MASKINI HATULINGI NA HAMTUTAKI ? SUBIRINI WENYE PESA WAWAOE, SISI WAKATA TUNAENDELEA NA CHAPUTA KAMA KAWA ! CHAPUTA JUU !!!! HAHAHAH KEEP IT UP MY DEAR .... I LOVE U EVER AND DON'T LET ME DOWN
 
Hivi wanaume kwanini mnaringa siku hizi mara simtaki huyu mara naoa mke mrefu mara humtaki huyu unamtaka huyu?

Mwishowe mnaoa majini iko siku mtagegeda majini na malaya tu. Seriously mtabaki wenyewe.

Juzi hapa mtu aliringa leo kaja analia. Acheni kuringa, duniani wapo watu wengi sio Tanzania tu.
Kuna nchi nyingi sana wanaume wapo.
Hiii! Sasa kama MTU huvutii upendwe tu jamani! Kuna character huwa tunapenda na kama huna hizo huwezi kupendwa wala kutakwa... Halafu mwanaume halis halii lii kama huyo wako. Huyo unaweza kumwendesha unavyotaka...
 
Wanaume wamenikeraa mm ndo maana kila siku nawachamba wanajifanya wenyewe ndo vibonde hapa duniani mxeeew kabisa
wewe! vyuma vimeregea lazima tubadili msimamo, tabu inakuja siku hizi na ninyi mmegoma kuachika! mtu akikudate ndo humwachi!
lakini pia tunaanza kujiepusha na kupimana DNA siku zijazo
 
Tatizo wanawake mkiona mnapendwa mnageuza mapenzi ni mazoea, hayana tofauti. Kama style mnayotumia kutoa taka mwili, haijalishi ni mkojo au NNYA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom