Wanaume msipoacha kuringia uchache wenu mtabaki wenyewe!

Hivi wanaume kwanini mnaringa siku hizi mara simtaki huyu mara naoa mke mrefu mara humtaki huyu unamtaka huyu?

Mwishowe mnaoa majini iko siku mtagegeda majini na malaya tu. Seriously mtabaki wenyewe.

Juzi hapa mtu aliringa leo kaja analia. Acheni kuringa, duniani wapo watu wengi sio Tanzania tu.
Kuna nchi nyingi sana wanaume wapo.
KUWA NA MAHUSIANO NJE YA NDOA KWA MWANAMKE SIYO KURINGA...MSALIMIE Engineer wako. Mahari analeta lini...baba yako kafurahi sana wewe kuwa na injinia...
 
Hivi wanaume kwanini mnaringa siku hizi mara simtaki huyu mara naoa mke mrefu mara humtaki huyu unamtaka huyu?

Mwishowe mnaoa majini iko siku mtagegeda majini na malaya tu. Seriously mtabaki wenyewe.

Juzi hapa mtu aliringa leo kaja analia. Acheni kuringa, duniani wapo watu wengi sio Tanzania tu.
Kuna nchi nyingi sana wanaume wapo.
Haya njoo mumeo nika hapa..!
 
No way, unasura kama ya baba yako, eti nikuoe kisa mke mwema. Nani anataka kuharibiwa watoto?
Duu jamani sasa baba afanane na nani wakati ni watoto wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe alie kuambia wanawake wazuri hakuna mwenye tabia njema nani?
Hapo mie ndiyo huchoka utasikia mke tabia je! Wanawake wazuri wote tabia zao si nzuri? Au kwasabu yeye kaopoa huyo anaanza kusema wenzie ili nao waangukie hapo mimi hilo nalikataa wapo ke wazuri na tabia zao nzuri pia
 
Mimi naona hiyo kauli wanapenda kuitumia wale wenye sura ngumu ili kupata soko. Asikuambie mtu urembo na tabia nimuhimu sana kwa mwanamke.
 
Mie nakusapot wapo wenye vyote sura au muonekano mzuri na tabia nzuri vile vile mzazi wangu akanilee vizuri kisha mtu aseme ohoo m wenye sura za hivi tabia zao sijui zipoje hapana ni malezi tu mkuu kama bado tafuta tu anayekuvutia hata tabia nzuri atakuwa nazo nzuri
 
Hivi wanaume kwanini mnaringa siku hizi mara simtaki huyu mara naoa mke mrefu mara humtaki huyu unamtaka huyu?

Mwishowe mnaoa majini iko siku mtagegeda majini na malaya tu. Seriously mtabaki wenyewe.

Juzi hapa mtu aliringa leo kaja analia. Acheni kuringa, duniani wapo watu wengi sio Tanzania tu.
Kuna nchi nyingi sana wanaume wapo.

Nimejikuta nacheeeeka. Kuna kungwi mmoja alikuwa anafundisha mahali.... Akasema..... "Mwanamume usimpe MOYO wako ila mpe MWILI wako..... Kwa mara ya kwanza nilishituka na sikuelewa.... Ila ninavyoendelea kutafakari sentensi hii.... Naendelea kupata ufaahamu wa ndani kabisa kuhusu maneno yale.... Hapa ni kwa wanandoa pekee..... Wanawake mpooooo??
 
Mie nakusapot wapo wenye vyote sura au muonekano mzuri na tabia nzuri vile vile mzazi wangu akanilee vizuri kisha mtu aseme ohoo m wenye sura za hivi tabia zao sijui zipoje hapana ni malezi tu mkuu kama bado tafuta tu anayekuvutia hata tabia nzuri atakuwa nazo nzuri
Nina vigezo vyangu na kamwe siwezi kivipuuzia kwa kauli ya mwanamke tabia
 
Haya niombee nimpate mwanaume sahihi
Km ww unaendana na hiyo I'd yako, badlika ! Make nyie Wa I'd hiyo mnataka malaika (siyo mwanaume tuu make vgezo mnaweka km mia na zaid) ACHEN HZO ! LA CVYO MTAKUWA WA KUTUMIWA NA VIBOSILE WENU HAO (MAANA MM NA MASKN WENZANGU HAMTUTAKI) na KUTUPWA KM JOJO ILOISHA UTAMU km kawa Ha ha
 
Uko chekechea nadhani umeanza ndio mnaunda sentensi unajitahidi nimekusikia katoto kakiume
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom