duuh ole ushaumizwaHivi wanaume kwanini mnaringa siku hizi mara simtaki huyu mara naoa mke mrefu mara humtaki huyu unamtaka huyu?
Mwishowe mnaoa majini iko siku mtagegeda majini na malaya tu. Seriously mtabaki wenyewe.
Juzi hapa mtu aliringa leo kaja analia. Acheni kuringa, duniani wapo watu wengi sio Tanzania tu.
Kuna nchi nyingi sana wanaume wapo.
Ni kweli ila sura sio mke mwema nausiringe kama hujaoaHiii! Sasa kama MTU huvutii upendwe tu jamani! Kuna character huwa tunapenda na kama huna hizo huwezi kupendwa wala kutakwa... Halafu mwanaume halis halii lii kama huyo wako. Huyo unaweza kumwendesha unavyotaka...
Hata kama MTU kaoa hatakiwi kuringa. Mwanaume haringi.Ni kweli ila sura sio mke mwema nausiringe kama hujaoa
Unakutana na wahuni afununasema umekutana na wanaume?
Bado hujakutana na Mwanaume wewe binti
No way, unasura kama ya baba yako, eti nikuoe kisa mke mwema. Nani anataka kuharibiwa watoto?Ni kweli ila sura sio mke mwema nausiringe kama hujaoa
Karibu ila umechelewa.Mimi nitaoa mwenye churaaa
Ukioa malaya usije humu kuomba ushauriNo way, unasura kama ya baba yako, eti nikuoe kisa mke mwema. Nani anataka kuharibiwa watoto?
Wewe alie kuambia wanawake wazuri hakuna mwenye tabia njema nani?Ukioa malaya usije humu kuomba ushauri
Kwa maana maisha ni hanaweza kukubadilikia mpaka ukashangaa.
Nani amekuforce sura mbaya uoe ni ukoo.
Asilimia kubwa wao ni zero brainWewe alie kuambia wanawake wazuri hakuna mwenye tabia njema nani?
Cc mshana juniorWanaume wamenikeraa mm ndo maana kila siku nawachamba wanajifanya wenyewe ndo vibonde hapa duniani mxeeew kabisa
Huyu tunguli za Mzee tunguli kwishinia maana mwanzoniTusimwage Mchele kwenye kuku wengiii ila hakuna shidaaa mm mdogo wako hujui tu
Naona unawashwa washwa na id Ya DemissHuyu tunguli za Mzee tunguli kwishinia maana mwanzoni
Cc junior. Hehehehe karibu tena ulimwengu wa wachambanao naona kufichwa uliumic
Welcome back