Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,479
- 11,671
Kuna vitu vichafu tunakula kwenye haya mazingira yetu bila kujua kuliko hata huo uchafu wa kwenye Kyumer. Ila kuna nyi gine chafu na kuna ambao kwa asili yao wanatoa harufu kali. Weka lile dole la kimkakati kwanza alafu pitisha kwenye pua uone kama panafaa kwenda.