.... nikapata simu ya msiba sasa kwa kua sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba lakini mwenzenu Ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla ....
First of all, I don't see why excessive force was needed from him. Pole!
Back to you...
It's common courtesy to ask first!
Then again, mmejuana for how long? Huenda ameona movies za Hollywood za kutosha akaona unataka kuiba...
Or, Labda hataki ujue top scores zake za Candy Cr...
Anyhoo, Kuna wale watu ambao wako reserved and they don't like their private/ personal space being invaded unless they let you in or you win their trust.
It's possible anaficha jambo, Or maybe his phone has sensitive data from his line of work, who knows!?
Fact still remains, using your phone, hukusonga kando. Mbona usonge kando na simu yake????
Hiyo game uliyomchezea, jiite mchezaji na umpe heshima zake kama mkufunzi.