- Thread starter
- #61
Hiyo co cm ya msiban
ndo majibu gani haya mkuu wakati nna machungu mara mbili ya kufiwa na ya kunyongwaHiyo co cm ya msiban
ndo majibu gani haya mkuu wakati nna machungu mara mbili ya kufiwa na ya kunyongwa😀 😀 poleeAsante mkuu Lakin ungeona jinsi alivyoninyonga ungenihurumia kwa kweli aiseeeee![]()
![]()
![]()
mjirekebishe jamani sio fair kabisaWee ulitaka kusepa nayo.
Na nilishakwambia ongekua mimi ningekupigia yowe la mwizi
Nachojua mimi sasa hivi tungekua tunacheza karata kwenu
Asante kantunta😀 😀 polee
Yatachoka pale na nyieaiseeeee hiv madushe huwa hayachoki
Una bahati sana, angekukwida na vibao juu. Huna adabu kabisa.nilimuomba sasa Ile nimeshika tuu akasema leta kwanza sasa namuuliza kwa nini hasemi anakimbilia kunikwida
kwa hiyo mkitupa hela mnakuja kulipiza kwenye papuchi zetuYatachoka pale na nyie
Mtapochoka kuomba hela
Plus mizinga asio na maana
mfuko wa kot au ramboYule aliyekuwa anakuhonga jana mmeachana?!
Huo uchi si utakuwa kama mfuko wa koti..!
kwan si ndo najiandaa sasa kama tuu mtu anaficha simu atakua ananificha vingapiJamaa atafute mke wa kuoa, wewe haujaolewa umeanza kuitawala cm bila ruhusa, ukiolewa je!!
mkuu huna huruma kabisaUna bahati sana, angekukwida na vibao juu. Huna adabu kabisa.
Njoo tujumuike wote, nipo single ruksa kupapasa simu yanguValentine naiona chungu
duuhwanawake kwelii mnatamaa. simu yako unayo kihere here cha simu ya mwenzako
. kama huna salio omba.
ungekuwa umeshika yangu msiba ungekuendea vizuri ata msiba ungekuwa ni wa bibi ungelia adi kamasi likutoke kwa kipigo ningekupa.
kama mpenzi wake siruhusiwi kushika simu? jaman mbna wanaume mna kera yani nimeharibu hadi valentine yangu bora ningelala home tuu

Marhabaaa, unaona sasa ulichokua unataka kufanya?yani wakati ananinyongorota nikawa nataka kujitetea kwa kukimbia lakini ilishindikana kukimbia ikabidi tuu nimpe simu yake na sikufanikiwa hata kufanya nilichotaka kufanya kwa bahati nzuri nilifanikiwa kuchungulia kwenye call logs nikaona namba yangu hata hajaisavu...shikamoo mwanaume aiseeeee