Wanaume mna nini na simu zenu?

Wanaume mna nini na simu zenu?

habari za leo wanajamvi.....jamani leo nimestaajabu.Leo nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kua sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba lakini mwenzenu Ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla nimevutwa mkono yani mkono umenyongorotwa kidogo nitoe damu...Ile nataka kukimbia nayo nikavutwa mpaka mkono kidogo nivunjike. Hivi jamani wanaume mna nini ni vitu gani au siri zipi ambazo hampendi zijulikane naombeni kujuzwa
hata kama we ni kipenzi changu ndo ushike simu yangu??..
 
Kwa nini hukuomba? Hukutumia ustaarabu, halafu ulitaka ukimbie nayo angekuvunja tu mkono, hapo wala usingeweza kujitetea maana angesema ulitaka kumpora!
Wanawake kumbe mnakuwaga na vitimbi vya hovyo hivyo..
Usishindane na mwanaume, mwisho utaumia na kushindwa tu!
mnaitaji kututawala nyambaaahhhjhhffff
 
Hafu ujue hapa unaongea na wanaume??

Yani uchukue cm ili upate taarifa kisha ukimbie nayo??

Embu kua sirious, siku hizi madada wezi yawezekana ndio ilikua inasepa hivo, jamaa kakumbuka ya yule malehemu wa mwanza,.

Kama mimi walahi ungekimbia nayo ningekupigia yowe la mwizi na sasa hivi navojua tungekua tunacheza karata kwenu kisa upuzi wako.
yani wakati ananinyongorota nikawa nataka kujitetea kwa kukimbia lakini ilishindikana kukimbia ikabidi tuu nimpe simu yake na sikufanikiwa hata kufanya nilichotaka kufanya kwa bahati nzuri nilifanikiwa kuchungulia kwenye call logs nikaona namba yangu hata hajaisavu...shikamoo mwanaume aiseeeee
 
habari za leo wanajamvi.....jamani leo nimestaajabu.Leo nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kua sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba lakini mwenzenu Ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla nimevutwa mkono yani mkono umenyongorotwa kidogo nitoe damu...Ile nataka kukimbia nayo nikavutwa mpaka mkono kidogo nivunjike. Hivi jamani wanaume mna nini ni vitu gani au siri zipi ambazo hampendi zijulikane naombeni kujuzwa
Labda ana msg za kuuza sembe je?wanawake hua hamuwezi kutunza sili.kweni we umefikili nini?michepuko tu siyo?wanaume tunahangaika kutafuta maisha kwa njia nyingi
 
siri gani za maana....hao wanawake ndo siri mnajua siri kweli yani wanawake wenzetu ndo siri zenu
 
yani wakati ananinyongorota nikawa nataka kujitetea kwa kukimbia lakini ilishindikana kukimbia ikabidi tuu nimpe simu yake na sikufanikiwa hata kufanya nilichotaka kufanya kwa bahati nzuri nilifanikiwa kuchungulia kwenye call logs nikaona namba yangu hata hajaisavu...shikamoo mwanaume aiseeeee
Wee ulitaka kusepa nayo.

Na nilishakwambia ongekua mimi ningekupigia yowe la mwizi

Nachojua mimi sasa hivi tungekua tunacheza karata kwenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom