Wanaume mna nini na simu zenu?

Wanaume mna nini na simu zenu?

Simu zetu mnapoziomba huwa mnatusababishia heart attack (in small scale). Maana huwa mnapekua hata ambako hamkutakiwa....utasikia "na huyu mdada ambaye picha zake ziko nyingi ni nani"? Unabaki unajiulza huyu ameomba simu apige au akague[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitahisi huyu mwanamke atakuwa katoka usalama wa Taifa maana haya maswali ndio kawaida yao
 
Ww mbona ni jike dume sana ujue mm sikuelewi ohoooooo!!!!!
 
Wanaume ni wa kuishi nao kiakili yaani simu zao full michepuko ndo maana yuko tiyari kwenda nayo chooni dah duniani kuna mengi
Wewe uliagizwa umuheshimu mwanaume,

Yeye aliagizwa ampende mwanamke.

Sasa siku hizi mianamike ilivokosa geshima eti inampenda mwanaume hafu inadai kuheshimiwa, jamani [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Utazani inasoma vutabu vitakatifu kwa vioooo vya saloon, kinyozi ananyolea kulia, kio kinaonyesha kushoto[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ndo mnavyosema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom