Kuwa naye kwenye mahusiano hakuondoi neno NAOMBA toka kwako kwenda kwake..... HUKUOMBA NDO MAANA...habari za leo wanajamvi.....jamani leo nimestaajabu.Leo nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kua sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba lakini mwenzenu Ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla nimevutwa mkono yani mkono umenyongorotwa kidogo nitoe damu...Ile nataka kukimbia nayo nikavutwa mpaka mkono kidogo nivunjike. Hivi jamani wanaume mna nini ni vitu gani au siri zipi ambazo hampendi zijulikane naombeni kujuzwa
Ni ruksa kushikana na si kushikiana simu,,,......habari za leo wanajamvi.....jamani leo nimestaajabu.Leo nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kua sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba lakini mwenzenu Ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla nimevutwa mkono yani mkono umenyongorotwa kidogo nitoe damu...Ile nataka kukimbia nayo nikavutwa mpaka mkono kidogo nivunjike. Hivi jamani wanaume mna nini ni vitu gani au siri zipi ambazo hampendi zijulikane naombeni kujuzwa
Yaani wanaume hatuwawezi kila jambo zito lazima kwenu mlipe wepesi.Ha ha ha ha acha woga si umesikia kila serikal lazma iwe na chama cha upinzan
ha ha ha ha hata usiku uwe mrefu vip asubuh itafika tuYaani wanaume hatuwawezi kila jambo zito lazima kwenu mlipe wepesi.
ni kweli mkuu...tena roho inaacha mwili mchana kweupe[/QUOTE. Achana nao kabisa... Ukifanikiwa sasa kuikagua. Utajutraa utayokutana nayo. Kama hujapata ugonjwa wa kupooza ni kifo cha moja kwa moja
Binamu wewe sio wa mchezo mchezo.Simu yangu wewe ya nin siku nyengne nakumiminia risasi.
Ndio uzuri wenu yaani hukosi sababu umefika mbaaali kote lengo likiwa moja tu simu isiguswe.kwan kipind naenda kusajili line tulisajili wote? nikiambiwa naingia jela kisa simu tutaenda wote? we tulia baki na simu yako na mim nibak na yangu
simu yangu mali yangu stress nyengne za kujitakiaNdio uzuri wenu yaani hukosi sababu umefika mbaaali kote lengo likiwa moja tu simu isiguswe.
ha ha ha ha binamu ndio maana kila mtu ana simu yake angetaka tungetumia simu moja tu wote wawilBinamu wewe sio wa mchezo mchezo.
Huko radhi kumimina risasi kisa simu daah inaelekea simu yako ni kama bomu.