Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,180
- 24,798
Kuna tofauti kati ya kushika na kutumia, vyote vinahitaji umakini!kama mpenzi wake siruhusiwi kushika simu? jaman mbna wanaume mna kera yani nimeharibu hadi valentine yangu bora ningelala home tuu
Simu ya mpenzi wako siyo mpenzi wako, inabidi kama unahitaji kutumia simu ya mpenz wako umuombe na siyo kutumia ubabe, naamini hata yeye hawezi kukosa busara na kuchukua simu yako na kuanza kuibofya bofya pasipo idhini yako..!
Simu hizi zina mengi, zinahifadhi mengi!
Unaweza kumharibia hata mwenzio kazi ukakosa ugali! Jifunze kitu hapo...