Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,787
- 4,875
Simu ina kipimo cha kupima uamninifu? Ama kuna apps za kupima uaminifu?Sasa tutaishije Bila kuaminiana
Simu ina kipimo cha kupima uamninifu? Ama kuna apps za kupima uaminifu?Sasa tutaishije Bila kuaminiana
Hahahaa! Sasa si tutajaa sana?
Alikuwa anataka akusaidie kutoa password..!
Leo alitaka kuondoka na mkono, kesho ataondoka na kichwa.
Simu ya mwanaume ione kama mkwe wako.

Akaaa. Nataka wapi ugonjwa wa moyo.Tuday is u only u
Akaaa. Nataka wapi ugonjwa wa moyo.
nilimuomba kwanza lakini Ile nimeshika tuu akasema kuna message na vitu vingine sitakiwi kuvionaHukutumia usitaarabu kwani ilitakiwa umuombe kwanza kabla ya kuichukua
na nyie msiguse simu zetusim zetu zina mambo mengi madili ya pesa madem sasa ukichukua sim yangu utakuja kujua siri zangu zote.
Unajua utakuta mapicha, videos, madeni tunayodaiwa etc ndio maana tunakuwa wakali
Babygal why touch my phone *2 in ben pol voice
Tugombane tugombane tuzozane tuzozane
Ukitaka unichunguze umeyaibua mwenyewe
Yaaan nyie wadada mkishija tu simu hata kama siku hiyo ilikua wa furaha kiasi gani lazima itabadilika na kufanya tujute kwamba tulianzaje kuwapa simu in the first place
Nadhani mpo kama CIA agent when comes to phone inspections
na nyie msiguse simu zetu
Ndo hulka ya mwanaume, muulize mama ako enzi zake akishika panga la baba au akikalia kiti cha baba au akilia kijiko na sahani ya baba au kikombe cha baba nini kilikua kinafata achilia mbali gari ya baba nadhani na hivo vitu vilikua vihifadhi data za michepukohabari za leo wanajamvi.....jamani leo nimestaajabu.Leo nikiwa nimetolewa dinner na shemeji yenu mtarajiwa huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale nikapata simu ya msiba sasa kwa kua sina salio la kutosha nikasema nichukue simu ya shem wenu ili nipate kujua zaidi juu ya msiba lakini mwenzenu Ile nimeshika simu tuu nikashangaa ghafla nimevutwa mkono yani mkono umenyongorotwa kidogo nitoe damu...Ile nataka kukimbia nayo nikavutwa mpaka mkono kidogo nivunjike. Hivi jamani wanaume mna nini ni vitu gani au siri zipi ambazo hampendi zijulikane naombeni kujuzwa
hahahhaNdo hulka ya mwanaume, muulize mama ako enzi zake akishika panga la baba au akikalia kiti cha baba au akilia kijiko na sahani ya baba au kikombe cha baba nini kilikua kinafata achilia mbali gari ya baba nadhani na hivo vitu vilikua vihifadhi data za michepuko