ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
Mwana kweli umeamua kutoa makavu laivu kabisa yanibora umenisaidia hapa
halafu mjue mwanamke mjanja haangalii una kazi nzuri,nyumba au gari bali anaangalia kama una akili za maisha hata kama huna unaweza kutafuta sasa nyie wenzangu na mimi mnajiproud mnaishia kupigwa mizinga na kuja kulialia humu.