Ndo maana nimesema naenda marekani, naenda kufanya shopping mamy
Niko na drive kueleke maskani nikifika nitachangia kwani natarajia niwashe jenereta ili nicharge ipad yangu-Tanesco wameshachukua umeme wao na ni ngumu sana kuishi kwenye jumba kama hili bila umeme
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
umemsoma vzr aliyetowa uzi..?!sasa watajulikanaje kama wana magari au hujui kuna makabila tofauti humu kama hupendi usisome mtu anachangia kitu anachokitaka sasa kama kuna mada ya kike si ingevalishwa bikini hii ni jamii unafanya unachojisikia bila kuvunja masharti
huwezi kupeleka watu wote kama unamlazimisha mkeo tabia haibadiliki mtu aliyezoea kujisifia atajisifia hata kama yupo kwenye msiba hakuna dhambi ya kujisifia kama mwanaume unasomaje post za kike ? au kuna jukwaa kwa ajili ya wanawake ?
kama mtu havunji sheria aachwe
haa kumbe watu wanalipizana visasi humu!!
Twatofautiana hulka,tabia na kila kitu.
Ukichukiacho mimi nakipenda na kinyume chake pia.
Ukiona vinakukera hamia uzi mwingine,hulazimishwi kufanya jambo na wala watu hawafanyi mambo ili wawafurahushe wengine bali nafsi zao.
Usipende kujumuisha eti "tunakera" sema unakerwa,bse mimi sikerwi,huwa napuuza na kuendelea na nyuzi nitakazo.
Nakerwa sana na nyinyi mjifanyao mnataka kurekebisha tabia za watu msiowafahamu...jirekebishe pia. Molembe
umesahau ulinitongoza.
Lingine mjue ile tabia ya kutongoza tongoza pm ni ushamba