Wanaume MMU tunakera sana

Wanaume MMU tunakera sana

MMU hii inakoelekeamajungu...misuto.....

sio lazima uanzishe kasiredi kama hakana mashiko wewe kuwa mtu wa kukomentoo tuuuuuu
 
MCHUNGUZI HURU alisema ukimtaka msichana humu unajigonga kwake haya CC: TATIANA
 
Last edited by a moderator:
Mada yako ni so intersting mkuu, u had me park my car by the road side niisome vyema..anyway, how are you!

Ngoja niingie hapa steers nisome na comments za wengine...

niko around u know unaonaje tupate lunch pamoja
 
sasa watajulikanaje kama wana magari au hujui kuna makabila tofauti humu kama hupendi usisome mtu anachangia kitu anachokitaka sasa kama kuna mada ya kike si ingevalishwa bikini hii ni jamii unafanya unachojisikia bila kuvunja masharti
huwezi kupeleka watu wote kama unamlazimisha mkeo tabia haibadiliki mtu aliyezoea kujisifia atajisifia hata kama yupo kwenye msiba hakuna dhambi ya kujisifia kama mwanaume unasomaje post za kike ? au kuna jukwaa kwa ajili ya wanawake ?
kama mtu havunji sheria aachwe

Mkuu nimekuelewa sana kama VP waweke jukwaa la wanawake name pia lawanaume.
 
MMU sikuhizi imebaki mipasho tu. Nilikua sio mpenzi wa siasa lakini nimejilazimisha mpaka nimezoea. Ipowapi MMU yaakina CHAICHUNGU, JIWE LINALOISHI, MADAMX, ASHAD nk.? Zikowapi zile story za kuchekesha, na kufundisha? Sasahivi watoto wa mama wako kibwena, kazi ni mipasho tu. Kwakweli munazingua.
 
Dadangu sijawahi kutongozwa wanawake wa humu(ukiwemo wewe) mnaangalia wenye magari na ofsi nzuri sasa mimi sina.



mwanamke huna ofsi huna kazi umejenga?hapana.
Unaelewa nini ukisikia neno kutongozwa? Au kwa mtazamo wako ulichoelewa mrejesho wake ni matusi na sio kujibu hoja?
 
Tuanze na. wewe Molembe ni mara ngapi umekuja hapa jukwaani ukilalamika sana?

tena na kuonyesha chuki ya waziwazi ulionao juu ya wadada.
sijui uwekwe kundi gani, huna tofauti na mtu anaekata tawi alilolikalia...
Mkuu huyu mtu sijui tumuweke kundi gani?
 
Mada yako ni so intersting mkuu, u had me park my car by the road side niisome vyema..anyway, how are you!

Ngoja niingie hapa steers nisome na comments za wengine...

hahahaha!!!
 
Back
Top Bottom