Wanaume MMU tunakera sana

Wanaume MMU tunakera sana

Ile ya blue, chupa nimeitupa jina limenitoka kidogo ngoja nichek chupa zingine kwenye friji yangu ntakuambia

Tuambieee jinaaa hahhhjha unaonekana mgeni wa wyne si useme tu ni coka kola umemimina kwenye glas ya wyne
 
Kuna kitu cha msingi sana najifunza kwenye uzi huu. Aisee!
Mwaga ma points basi, mie bado naona nyota nyota, kwanza nimeshindwa elewa huyo mtoa mada anajuaje kuna matongozo huko PM kama hafanyi, mwanzo nilidhani ni KE lakini labda anakumbana na tongozo nyingi za ME, ila naona kama ni ME ila bado nimechanganyikiwa.
 
Back
Top Bottom