Wanaume MMU tunakera sana

Wanaume MMU tunakera sana

Mtoa mada umetongozwa mara ngapi kwa PM?

Dadangu sijawahi kutongozwa wanawake wa humu(ukiwemo wewe) mnaangalia wenye magari na ofsi nzuri sasa mimi sina.

Molembe mimi sina gari wala ofisi, nikimaliza kutengeneza banda langu hapa mchikichini naweza kukutongoza kwa PM?

mwanamke huna ofsi huna kazi umejenga?hapana.
 
Safi sana Molembe,makavu live!!Lakini hili la kutongoza kupitia Pm umejuaje?Ushatongozwa au una ka id kengine?Samahani,just curiosity!
 
Last edited by a moderator:
Mada yako ni so intersting mkuu, u had me park my car by the road side niisome vyema..anyway, how are you!

Ngoja niingie hapa steers nisome na comments za wengine...
 
Hii mbona kama umeng'oa kwa lara1? Au ni remix mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom