Wanaume MMU tunakera sana

Wanaume MMU tunakera sana

Nitatangaza mshindi kati me/ke December maana huku kusutana hakuwezi kuisha bila tuzo
 
Teh..... ndio maana hata nikikosaga pesa nakuja JF kusoma soma coz hua nahisi ni kama nitakua na maisha mazuri sooo...
 
haa haa haa subutu ntamwambia Asprin ahamishe kikojolea chako kutoka kilipo sasa hadi kikae kwenye paji la usoo

Kabla sijakihamisha nakibadili jinsia. Kama hajui kukwepa mitongozo atapata mimba ya kisogoni.
 
Last edited by a moderator:
wabongo bana. kwahiyo mtu akisema anaishi uswazi kwwnye nyumba ya kupanga ndio anaonekana anaishi.maisha yake ya uhalisia!!!! hapa naona utakuwa umemfurahisha mtoa mada.

Haya yote uliyosema hapa umeyatoa wapi?

Au kuna jamaa umemsikia akisema huko mtaani kwenu?

Unajua maana ya comprehend?
 
Daahhhhhh leo kuna Kabaridi aiseeeee........lakini tunashuku Mungu kumekucha salama wapendwa!!!!
Mwisho wa siku ya Ngoswe mwachie..................................................................................!!!!
 
Back
Top Bottom