Wanaume mamwinyi



hahhhhhhhh inachosha sana jaman
 
hata kuvua nguo uziache chini jaman !hv unashindwa nn kuiweka panapofaa hicho chumba au ni stoo! hapana my dear meng wanazid ! unaogea taulo limeloa unashindwa kutoka nalo ukalianike nje? humo ndan si mnatafta mauvundo jaman !eish hapana !

Kuna jamaa siku moja katoka kuoga choo cha nje kufika kwenye kamba uani akatundika kataulo kake wakati huo ndani hana hata boxer. Unajua kilichofuatia......
 



na mie nikila nan aniliwaze?mtoto! hv unataka uliwazwaje kwenye kula? yaan ubembelezwe km mtoto au unatakaje? kha makubwa haya
 
Kama umeolewa basi ulikurupuka kuolewa, ndoa inahitaji utayari, lazima kuna mambo muelekezane na mkubaliane jinsi ya kuishi kabla ya kuoana. Hayo sio mambo ya jukwaani wala ya wazazi, ni mambo yenu binafsi muyazungumze
 
Anaesema sina mke sio kweli ninashirikiana na mke wangu kwa kazi zote. Siangalii makunyanyanzi kua watu wanasemaje. Siwezi kunyoosha miguu huku mke anapika, ni lazima kawe na shughuli ndogo za kumsaidia ili ajisikie kua yupo na mwenzi wake maishani. Eti ninapita kariakoo niogope kununua vitunguu eti kazi ya mwanamke , uende nyumbani baadae mke aende kariakoo na umepitia palepale, ni uchumi gani?? Hakuna kazi ya mwanamke wala mwanaume. Japo hatuna uwezo wa kubeba mimba hayo ni ya Mungu. Tusiwafanye wanawake watumwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Nina muda mwache tu ntafanya ila nikikosa atajifanyia mwenyewe

Miaka ya nyuma kidogo, Mzee wangu na maza walirudi wote kutoka mihangaikoni midaa ya SAA tano usiku, msosi waliokuta dingi akadai kitunguu hakijaiva na akasusa kula, mama akamwambia hivi "baba Jane unaposusa kula hauwakomoi kina Jane unanikomoa Mimi maana siwez kula bila wewe kula, dingi kimya, maza akaingia jikoni hapo mida ya SAA sita akapika chakula kingine akamtengea Mzee, Mzee akala alipomaliza akajichekelesha na kwenda kulala. Asbh maza anatuadisia kiukweli niliumia ingawa huyu maza ni step maza Ila nilimuhurumia sana

invest what you are willing to lose
 
Katika 1,000 watu kama nyingi ni 10 tu
 
Step mother anabusara sana
 
Utoto kwenye kubembelezwa na kufanyiwa kazi, ila akichelewa kurudi au atoke bila kuaga mpigie simu umuulize au mwambie kwa nini hivi na hivi. Utajibiwa "usinitreat kama mtoto bana, wewe sio mama yangu". Ngachoka
 
Naona Sky Eclat anakuja na mada za usawa kwenye ndoa/nyumba.

Usawa duniani hakuna, ukitaka usawa inabidi uishi peke yako.

Utafua, utapika, utaosha vyombo nk. Naweza kufanya hayo at my own will, lakini mwanamke atafanya yote hayo kwa lazima.
 
Na ninyi mabeki 3 mnawafanyia hivo hivo.
 
Naona Sky Eclat anakuja na mada za usawa kwenye ndoa/nyumba.

Usawa duniani hakuna, ukitaka usawa inabidi uishi peke yako.

Utafua, utapika, utaosha vyombo nk. Naweza kufanya hayo at my own will, lakini mwanamke atafanya yote hayo kwa lazima.
Kakaa kuna wanaume ma mwinyi akimaliza kula anaondoka mezani Huku anakutuma uka polish viatu vyake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…