Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
Tutengekua hatufanyi hizo big things sidhani kama tungelalamikia only little things...shida ya wanawake wa leo you are so fine in judging small issues kuliko mambo makubwa,huwa mnahisi mko sahihi nyie kwanza kuliko mtu mwingine yoyote,unataka upendwe,upewe kila kitu wewe,ufanyiwe yote unayoyakuta kwa jirani na rafiki zako ajabu ni kwamba wewe hutaki na huwezi kufanya hata moja unalotaka ufanyiwe,mahusiano ni kama maji ukiyasafisha na kuyatunza nawe yatakutunza badae utakapo yanywa
Halafu kama haujajua vizuri wanawake wanajali vitu vidogo vidogo zaidi ya vikubwa.
Napika naandaa napakua naosha vyombo hapo mwanaume akisaidia angalau kuleta kijiko inamaana kubwa mnoo.

