Wanaume mamwinyi

Wanaume mamwinyi

Ile umeamka asubuhi ukawahi sehemu ukamuacha kalala ukirudi jioni hajatandika kitanda, hajaoga kalala kisa haukuwepo ukamuandalia maji utafikiri unaishi na chizi. Wanawake tuna tabu sana.


haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Heaven Sent na Neybright njoon jaman kha hii nimechekaaaaaa !eti utafikiri unaishi na chizi!haaaaaaa
 
Inategemea mahusiano yenu yakoje. Kuna nyumba nyingine mke na mme wanalala vyumba tofauti kwenye nyumba moja hiyohiyo! Kwa wapenzi, wanahujua ni kupenda na kupendwa yaani kupendana. Mwanamme akiwa na nafasi mbona hata kupika anapika na mkewe!
Teams wanaume wengine kukiwa na wageni hao hii jikoni kabisa eti analogous kuchekwa as if usiku analala nao hao wanzomcheka
 
Ingekuwa na utaratibu wa kufua socks na boxers zako weekend na kuzipanga kila socks na mwenzake usingeumia kichwa
Nikifua mimi sawa, ila ukifua wewe alafu ukiweka popote nisipoziona nakuita utafute hatakama upo jikoni au wapi.
Naukichelewa nikiitafuta kwashida nikaiona ujue nikitoka sikuagi, nabamiza mlango naondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanaume wanapenda u-mwinyi bwana, yaani anaamka anaenda kuoga wakati anaoga unatandika kitanda na kuweka mazingira ya chumba vizuri. Unakwenda jikoni kuandaa chai, anatoka bafuni na taulo kiunoni anatafuta atavaa boxer na kama atakumbuka mafuta basi itakuwa kwenye viganja vya mikono. Taulo atakuachia juu ya kitanda si tatizo lake tena.

Mezani umeandaa chai na vitafunio hata kama chumvi haisikiki mfano kwenye mayai atakuita ukamchukulie jikoni hapo ni baada ya kukuita umletee maji ya kunawa na tissue ya kujikaushia.

Yaani ameshindwa kabisa kwenda kunawa jikoni au bafuni au kwenda jikoni kuchukua chumvi. Na akimaliza kula hataondoa hata kijiko mezani anaacha kila kitu pale anakwenda kukaa kwenye sofa anaangalia mpira, kusoma gazeti au anachat kwenye simu. Hiyo ni weekend.

MKUU,

KUMU_ATTEND M'MEO NDIO ADABU YA NDOA NA FAMILIA.

USIWAPOTOSHE WANAWAKE WENGINE HUMU-
WAKAIGA UKISEMACHO
WAAMBULIE VIBUTI NA TALAKA ZA KUTOSHA!!!

YAANI KUONDOA VYOMBO ALIVYOLIA M'MEO MEZANI NAYO NI ISHU YA KULALAMIKA KWA MWANAMKE ANAYEJITAMBUA KWELI?!?!

YAANI MIMI NILE CHAKULA,
HALAFU NIONDOE VYOMBO MEZANI WAKATI NIMEKUOA UPO NDANI?!?!

MIMI KWELI MIMI?!?!
YAANI MIMI KABISA?!?!
MUME MIMI?!?! MIMI?!?!

AISEEEEEEH!!!!

HAPO ND'O UTALIJUA GUBU LANGU LA KIMAKONDE, KIMAKUA, KIYAO, KIMWERA, KINGONI, KINGINDO NA KIMATUMBI!!!!!



Sent using Jamii Forums mobile app at Mbagala MajiMatitu
 
Hayo mambo tushazoea kwenye ndoa we r Tanzanian hata usomeje mwanamke lazima mumeo umhudumie kila kitu wengi tunafundishwa hvyoo
Ni jambo la kawaida pia kwetu ukiona ananuna mke hajafundwa au uzungu mwingi

My own brand!!


hata kuvua nguo uziache chini jaman !hv unashindwa nn kuiweka panapofaa hicho chumba au ni stoo! hapana my dear meng wanazid ! unaogea taulo limeloa unashindwa kutoka nalo ukalianike nje? humo ndan si mnatafta mauvundo jaman !eish hapana !
 
Ulishawahi kukuta mahali mwanaume anafundishwa kua mwanaume?? kama nyinyi mlivyo na seminar kila mahal... lakn je, kwann wanaume wote wanatabia zinazo fanana? kawafundisha nani?

Hiyo n Nature... ama asili, ndivyo tulivyo umbwa, tatizo lenu kina mama mnajaribu mno tena kwa kias kikubwa to violate the nature, mnatoka kwenye asili, alafu mnalalamika mnataka mwanaume nae atoke, huyu mleta mada siku chache zilizopita alileta mambo ya kuosha vyombo, kudek, kufua, kuogesha mtoto, kupika nk.. real??? kuna haja gani ya mm kua na mke nyumban sasa???

Mambo ya kusaidiana yapo, lakin kwa zaid ya 95% ni maswala ya kusimama kwenye role yako, kama n baba au mama
Huna haja ya kuwa na mke. Haja yako ni mjakazi.
 
Ndio maana kuna kipindi cha uchumba, kama haukujua tabia zake kubaliana nazo au hurudi kwenu.
Wengine wakati wa uchumba kila ikienda kundalini babe unakuta amepika mambo safi. Habari jamii kwenye ndoa
 
KILA MTU ANA MAJUKUMU YAKE. KUNA KAZI ZA WANAWAKE NA ZA WANAUME. HAVIINGILIANI mpk itokee emergency
 
hata kuvua nguo uziache chini jaman !hv unashindwa nn kuiweka panapofaa hicho chumba au ni stoo! hapana my dear meng wanazid ! unaogea taulo limeloa unashindwa kutoka nalo ukalianike nje? humo ndan si mnatafta mauvundo jaman !eish hapana !

Wanaacha nguo chini au wanazitupa juu ya cover ya basket ya nguo, yaani kufunua mfuniko na kuweka ndani watatumia nguvu sana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom