Princess21
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 272
- 266
- Thread starter
- #121
Iyo simpiiii
Pole. Kuna watu wanapitia hali kama yako na zaidi.Ok nashukuru, hivi kweli unaeza ukasafiri mwezi kisha ukirudi huna hamu na mkeo? Ata kumkiss ni shida, midnight dushe inasimama husemi adi niskie ikinigusa ndo nijishughulikie kweli!!! Heee ni mapito
Kuna baadhi ya post zake nimeziona mtani,ni matatizo mtani.Mtani, huyo jamaa ana matatizo sana. Kwa nini amuache mkewe ajitie vidole jamani? Kwa kweli sio vizuri, kumtimizia mke mahitaji yake ni obligation na sio ombi.
Lakini mtani, we huoni kuwa huyu mwenzako anajifanyia ka promo humu? Manake mabazazi watakuwa washafika pm tayari?
Unawekewa masong ya majuu ucheze na zile vichupiichupiii vya kambaa nk au unakuptisha mitaa ile ya masokoo alafu anakwambia bwegee wewe cheki totoz wapo bombaa wee umelegealegeaa tuu maana umenipata mjinga wa kukulea kifaraa...Amekuchosha huyo wa kwako mydear. Tena huyo ni wa aina yake. Tulionao sie wanataka tuact kimalayamalaya chumbani. And we give them what they want.
Lugha uliyotumia kwangu mashikolo magen.
Pole ya nini? Na sijaelewa nia ya wewe kuniambia hivyo.Poleee
Unawekewa masong ya majuu ucheze na zile vichupiichupiii vya kambaa nk au unakuptisha mitaa ile ya masokoo alafu anakwambia bwegee wewe cheki totoz wapo bombaa wee umelegealegeaa tuu maana umenipata mjinga wa kukulea kifaraa...
umezeeka nini? mbona unalalamikia kuexpire??Ok, kuna wakati mnaweza chukua ata beseni dogo mkajisugua migongo chumbani kwenu, yaani kungwi wangu alinifunda kuishi mazingira ya kila aina na jinsi ya kufurahia sex but ni shidaaa ujuzi una expire siwezi kufanya tena
Mtafute Joe Makini akutafsiriePole ya nini? Na sijaelewa nia ya wewe kuniambia hivyo.
Mbona husomekiPoleee
Unawekewa masong ya majuu ucheze na zile vichupiichupiii vya kambaa nk au unakuptisha mitaa ile ya masokoo alafu anakwambia bwegee wewe cheki totoz wapo bombaa wee umelegealegeaa tuu maana umenipata mjinga wa kukulea kifaraa...
Kama karata dumee vilee...Mbona husomeki
Inaonekana hujui kujibu post ya mtu directly zaidi ya ku comment. SMHKiukweli hilo lipo, sa tunafanyeje?
Kila mtu anapenda style yake, wa kwako anapenda styles gani?Hivyo mnavyopenda.
Pole sana, nimekua nikiwasaidia watu wa type yako wakati wa matatizo kama haya yanapojitokeza, unachotakiwa kufanya ni kuja kwenye darasa langu nami nitakushughulikia effectively na utasahau hayo maumivu yanayokukumba@Kwanini wanaume wengi skuizi hasa wa ndani ya ndoa hufanya wake zao kivuli tu, na ku pretend kuwapenda sana ilhali ni upendo wa kuigiza tu?
Utakuta mpo katika ndoa miaka mitano lakini hukumbuki mara ya mwisho lini mlifanya romance, lini mlioga pamoja, lini mliinjoy sex wote. Yeye kila utundu hataki, ukimnyonya ataki, ukimgusa ataki, kukatika atakiiii[emoji3] waiiiii mnatuchoshaaaa!
Ni kweli mkuu broiler zinawaharibu. Mi ngoja nihamie kijijiniKweli wanaume wa Dar shida mpaka wake zao wanakuja kulalamika huku.