Princess21
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 272
- 266
Kwanini wanaume wengi skuizi hasa wa ndani ya ndoa hufanya wake zao kivuli tu, na ku pretend kuwapenda sana ilhali ni upendo wa kuigiza tu?
Utakuta mpo katika ndoa miaka mitano lakini hukumbuki mara ya mwisho lini mlifanya romance, lini mlioga pamoja, lini mliinjoy sex wote. Yeye kila utundu hataki, ukimnyonya ataki, ukimgusa ataki, kukatika atakiiii waiiiii mnatuchoshaaaa!