Wanaume kwanini kila utundu wa chumbani hamtaki?

Wenzio wameshakuzidi,kama amepata mchepuko wa kimakonde andika maumivu,mimi mwenyewe juzi nimempata demu wa kimakonde si mchezo,kama ningekua nimeoa,sijui ingekuaje
Noiselessly;
Usimsifie saana mmakonde, wote tumewamaliza hao lakini niligotea kwa Mnata. Ushawagusa hao?
 
Kwanini wanaume wengi skuizi hasa wa ndani ya ndoa hufanya wake zao kivuli tu, na ku pretend kuwapenda sana ilhali ni upendo wa kuigiza tu?

Utakuta mpo katika ndoa miaka mitano lakini hukumbuki mara ya mwisho lini mlifanya romance, lini mlioga pamoja, lini mliinjoy sex wote. Yeye kila utundu hataki, ukimnyonya ataki, ukimgusa ataki, kukatika atakiiii[emoji3] waiiiii mnatuchoshaaaa!
mapenzi yana steji zake aisee,ya kwanza tamu kama.......
ya pili chachu kama.................
na ya tatu itakuwa zaidi ya hapo,analala nje kabisa,nahisi we bado uko steji ya pili
 
Kumbe ndiomaana tuna gongewa aiseeee....[emoji25]
 
Kwanini wanaume wengi skuizi hasa wa ndani ya ndoa hufanya wake zao kivuli tu, na ku pretend kuwapenda sana ilhali ni upendo wa kuigiza tu?

Utakuta mpo katika ndoa miaka mitano lakini hukumbuki mara ya mwisho lini mlifanya romance, lini mlioga pamoja, lini mliinjoy sex wote. Yeye kila utundu hataki, ukimnyonya ataki, ukimgusa ataki, kukatika atakiiii[emoji3] waiiiii mnatuchoshaaaa!
Kwani una wanaume wangapi na umejaribu wangapi
 
SAA nyingine kabla hujarusha lawama hebu jitathimini kwanza mwenyewe. Ukoje, unaweza ukawa umejiachiaa unene kama embe bolibo kisa unakulakula hovyo, usafi ukoje?...kaa ukijua pia vile vitu vinavyo mput off mwanaume vinaendelea kumput off hata ndani ya ndoa. Mfano unataka denda uku unanuka mdomo. Jikague kwanza ofisi IPO fresh? Badili muonekano ili ulete flavour mpya. Kunyonya pia kuna ufundi wake...mie nilipata demu ananyonya anavuta mpaka maumivu!!! Nikatoka ndukiii
 
Kwanini wanaume wengi skuizi hasa wa ndani ya ndoa hufanya wake zao kivuli tu, na ku pretend kuwapenda sana ilhali ni upendo wa kuigiza tu?

Utakuta mpo katika ndoa miaka mitano lakini hukumbuki mara ya mwisho lini mlifanya romance, lini mlioga pamoja, lini mliinjoy sex wote. Yeye kila utundu hataki, ukimnyonya ataki, ukimgusa ataki, kukatika atakiiii[emoji3] waiiiii mnatuchoshaaaa!
wewe utafanya mwenzio akule jicho wewe maana ndiyo target yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom