Wanaume kwanini kila utundu wa chumbani hamtaki?

Wanaume kwanini kila utundu wa chumbani hamtaki?

Kwanini wanaume wengi skuizi hasa wa ndani ya ndoa hufanya wake zao kivuli tu, na ku pretend kuwapenda sana ilhali ni upendo wa kuigiza tu?

Utakuta mpo katika ndoa miaka mitano lakini hukumbuki mara ya mwisho lini mlifanya romance, lini mlioga pamoja, lini mliinjoy sex wote. Yeye kila utundu hataki, ukimnyonya ataki, ukimgusa ataki, kukatika atakiiii[emoji3] waiiiii mnatuchoshaaaa!
Huyo bwana sijui mumeo mnavyoitaa atakuwa mchagaa aliyezaliwa na kukulia kijijii so anaogopa kupoteza muda usioingza hela na usipotaadhr ukimdengulia hata hiyo nayo ataacha. Hawanaga mudaa tena hao wakishaoa
 
Kweli, so imekula kwangu
 
Amekuchosha huyo wa kwako mydear. Tena huyo ni wa aina yake. Tulionao sie wanataka tuact kimalayamalaya chumbani. And we give them what they want.
Unawekewa masong ya majuu ucheze na zile vichupiichupiii vya kambaa nk au unakuptisha mitaa ile ya masokoo alafu anakwambia bwegee wewe cheki totoz wapo bombaa wee umelegealegeaa tuu maana umenipata mjinga wa kukulea kifaraa...
 
Lugha uliyotumia kwangu mashikolo magen.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom