Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

Wanaume kupotea baada ya muda mfupi wa mahusiano

tatizo mabinti ukitongozwa wanajua umependwa .. wanaume wengine huwa wanatongoza kwa starehe tu na hawamaanishi sasa wewe kuambiwa umependwa basi moyo mwili wote kwake ..
Wasipo elewa hapa itakua kweli walimu wao vi pofu wewe ni muelewa sanaaaa

Mara nyingi ni hivyoo ulivyo sema ukipata ane jielewa urafiki unadumu kikubwa tusifatiliane tu labda kuwe naaa dharula sawa
 
Wasipo elewa hapa itakua kweli walimu wao vi pofu wewe ni muelewa sanaaaa

Mara nyingi ni hivyoo ulivyo sema ukipata ane jielewa urafiki unadumu kikubwa tusifatiliane tu labda kuwe naaa dharula sawa
ha ha emergence nyege
 
Naomba niulize swali kwa wana JF hasa wanaume,

Utakuta umekutana na mtu ameomba namba yako ya simu ukampatia akakupigia nawe ukawa unampigia, mmeenda date kwa muda kama wiki mbili hivi kila wiki mara moja.

Mwingine utakuta na kwake alikopanga kakupeleka kabisa, ghafla bin vuu unakuta mtu mara hapokei simu zako wala SMS hajibu.

Hivi hii inatokana na nini?
Mnapoharibu ni hapo kwenye kudate,nyie wengine mnafanya na zinaa kabisa, na ukumbuke huyo mtu hajakuoa unategemea nini?Au labda kama mimi sijui maana ya kudate...
 
Huwa tunapita jamani mtuelewe...kwan mpk sasa hv nyie madem mshapitiwa na wangap..[emoji1][emoji1]hamjifunzi tu maana sisi tukishakumwagia mchuzi wa mapenzi tunaangalia another hole..[emoji41]ndo tulivyo umbwa bwashee
 
Sio kumlilia mtu, unajiuliza tuu kwanini inakuaga hivyo yani mtu akatishe mawasiliano ghafla kama vile hamkujuana kabla. Au pengine mmeshaolewa msiolilia mapenzi au labda hamna hamu ya kuolewa

sasa wew nakuona kama unafake ili upate kuolewa!my dear usifake be real!...hamu ipi sasa mwanaume mwenyew anaonekana kiraka tu huyo!tena delete namba yake suiku akikupigia pokea kwa pose kubwa! tatz mnafake! mie kufake sijui mwee!

usimtxt tena wala kumpigia simu!
 
kagundua siyo type yake..

alikuwa anataka kitumbua labda kapata..

ana mpenzi wake wewe ni by the way tu ulikuwa

labda unaboa na kuchosha

una mashauzi ya kijinga..

unastory za kifala mara baba yangu mara mjomba wangu .....

hujiamini

chagua linalokufaa

Ha haaaaa.....Ukiniomba tuuu hunioni............... kwana ina nn?
 
sio siri yo smart ..yo loyal...thats why a love yo bby darling
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya Wavulana na Wanaume.

Wavulana kufanya hivyo ni jambo la kawaida sana coz wao wanachotaka kwa ni sifa tu na siku zote wao vision yao kila kukicha huwa nikuongeza member mpya kwenye list zao thats why hit & run kwao sio kitu cha ajabu.

Wanaume huwa hatuna papara coz majukumu ni mengi na maisha yako kasi sana hivyo huwa hatupendi kurukaruka na papuchi manaake zitatupotezea tention ya mambo ya msingi. Kimsingi wanaume tunapambana na hali zetu.

Tatizo wanawake mnakimbilia wavulana badala ya wanaume at the end of the day yakiwakuta ya kuwakuta badala ya kuwalaumu hivyo vivulana vyenu mnakuja kusema oooh wanaume blah, blah, blah..!!
 
Huwa tunapita jamani mtuelewe...kwan mpk sasa hv nyie madem mshapitiwa na wangap..[emoji1][emoji1]hamjifunzi tu maana sisi tukishakumwagia mchuzi wa mapenzi tunaangalia another hole..[emoji41]ndo tulivyo umbwa bwashee
ENELEENI KUZAMA KWENYE MAHOLE LABDA IPO SIKU MTAKUTANA NA DHAHABU ILA FAINALI KABURINI
 
ENELEENI KUZAMA KWENYE MAHOLE LABDA IPO SIKU MTAKUTANA NA DHAHABU ILA FAINALI KABURINI

Kwan we hutakufa mama...kifo kipo tu usifikiri walikanyaga miwaya waliitafuta wengine walipewa na wanao waamini..[emoji83]
 
Back
Top Bottom