imbuwa
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 220
- 305
[emoji3][emoji3]Ndiomaana najiuliza ndoano ya nini kwani mkuu...[emoji849]
[emoji3][emoji3]Ndiomaana najiuliza ndoano ya nini kwani mkuu...[emoji849]
Huu uzi umeletwa kimhemko sana bila facts zozote. Kama mzee ni meneja mstaafu maana yake anabima ya afya (NHIF) pia ama pesheni ya kila mwezi. Je, mtu wa namna hiyo ni wa kukosa 10k? Na kukosa matibabu?Ukitegemea watoto ulio lipia ada kubwa kwenye private schools kukutunza au ukitegemea mke ulio mvumilia siku zote eti ndo atakutunza au ukitegemea hiyo pession 33% yako na bima ya afya ulio pata baada ya kustaafu, hapo umechemsha mkuu.....
Maisha ya kustaafu yanahitaji cash flow or cash in hand sio assets au promises, mzee mstaafu jirani mwenye watoto 5 gradutes kati yao wawili wako wingereza watatu wameajiriwa serikalini, amekufa kifo cha kimasikini sana 'died like apauper' wakati mke wake ameenda kutembelea bint yake mkoani takribani miezi 3 sasa hayupo.....kweli meneja mstaafu ndo wakukosa sh 10,000 kuwayishwa dispensary, ndo wa kupewa chakula na wapangaji?????
Rai yangu if you are 45+ anza kujianda jinsi ya kustaafu kwa heshima uza baadhi ya mari zako utunze pesa sio sehemu moja never ever over trust your wife, hao wa dudu tukikua wana badilika na kuhamia kwa watoto wao. Kwa kweli nime umia sanaa mzee kajitahidi sanaa kutunza familia uwe first class nyumba yake ni 300m to 500m worthy ila bado maiti iko hospitali next of kin bado hawajafika hi ni siku ya pili.
Soma viziri stori hii watoto wako uingereza na wengine wanamaisha yao na mke ameenda uingreza kwa watoto baba yao kabaki pekee home kqzidiwa na ugonjwa na majirani ndo wanampa msosihizi stry zingine za kuunga unga ..mtu ijenge nyumba ys 300m ushindwe kuwa na bima kubwa kweli?🚮
Wengi wanaishi kwa mikopo hata awe anapata take home ya 5mil kwa sababu ya majukumu mengi ,kukimbilia familia hapo ndio matatizo kuhudumia watoto zaidi ya mmoja kwa miaka 20 mpaka wafike chuo sio kitoto.
Hii imekaa vizur sana[emoji3][emoji2][emoji23]Mmm kuna mchina aliniambia uko kwao kumsomesha Mtoto mnaingia kabisa mkataba kua atakutunza uzeeni kumbe kwetu vice vesa [emoji28][emoji28]
....Pensheni, Kwa Kiswahili....Pension Kwa Kiingereza ! Umakini !!Ukitegemea watoto ulio lipia ada kubwa kwenye private schools kukutunza au ukitegemea mke ulio mvumilia siku zote eti ndo atakutunza au ukitegemea hiyo pession 33% yako na bima ya afya ulio pata baada ya kustaafu, hapo umechemsha mkuu.....
Maisha ya kustaafu yanahitaji cash flow or cash in hand sio assets au promises, mzee mstaafu jirani mwenye watoto 5 gradutes kati yao wawili wako wingereza watatu wameajiriwa serikalini, amekufa kifo cha kimasikini sana 'died like apauper' wakati mke wake ameenda kutembelea bint yake mkoani takribani miezi 3 sasa hayupo.....kweli meneja mstaafu ndo wakukosa sh 10,000 kuwayishwa dispensary, ndo wa kupewa chakula na wapangaji?????
Rai yangu if you are 45+ anza kujianda jinsi ya kustaafu kwa heshima uza baadhi ya mari zako utunze pesa sio sehemu moja never ever over trust your wife, hao wa dudu tukikua wana badilika na kuhamia kwa watoto wao. Kwa kweli nime umia sanaa mzee kajitahidi sanaa kutunza familia uwe first class nyumba yake ni 300m to 500m worthy ila bado maiti iko hospitali next of kin bado hawajafika hi ni siku ya pili.
Hao watoto waliomtelekeza Baba yao wamejilaani.Maisha ya kustaafu yanahitaji cash flow or cash in hand sio assets au promises, mzee mstaafu jirani mwenye watoto 5 gradutes kati yao wawili wako wingereza watatu wameajiriwa serikalini, amekufa kifo cha kimasikini sana 'died like apauper' wakati mke wake ameenda kutembelea bint yake mkoani takribani miezi 3 sasa hayupo.....kweli meneja mstaafu ndo wakukosa sh 10,000 kuwayishwa dispensary, ndo wa kupewa chakula na wapangaji?????
Tusilaumu bure maana options ni ndogo sana za kuwekeza bongo, kwa wenzetu ni rahisi ,opportunities za kuwekeza vipesa vya retirement ukalipwa kidogo kidogo zipo nyingi, zaidi ya treasury bills za BOT ambapo pesa zitakuwa salama na faida kidogo, sijui wapi mstaafu anaweza kuweka pesa zake zimtunze, financial industry kwa bongo bado sanaHaya mambo ya kuzika hela kwenye kujenga jumba la kifahari halafu huna investment ni tatizo kubwa sana kwa watu weusi
Mkuu suala sio kuwekeza hapana la muhimu ni kua finical cash flow , bonds au rentals au bank deposites hazidaidii kukufanya kupata cash immediately incase of evetuaties.........kuna siku utakosa 100k kuenda kushusha pressure clinicTusilaumu bure maana options ni ndogo sana za kuwekeza bongo, kwa wenzetu ni rahisi ,opportunities za kuwekeza vipesa vya retirement ukalipwa kidogo kidogo zipo nyingi, zaidi ya treasury bills za BOT ambapo pesa zitakuwa salama na faida kidogo, sijui wapi mstaafu anaweza kuweka pesa zake zimtunze, financial industry kwa bongo bado sana
Wabongo wengi ada za kufuata mkumbo zinaumiza wengi. Mtu ana watoto wa 4 ada milioni tatu , hapo ni 12 milioni na zaidi. Usomeshe hadi chuo hakuna rangi utaacha kuona, mara 60 hiyo ,hakuna cha maana ulichofanya na watoto wako home hawana kazi au wana kazi ya 500k kwa mwezi.Hamna anae jua yatakaotokea kila mtu anategemea mazuri tu. Cha muhimu nikufanya maandalizi mapema na kupunguza matumaini ya kusaidiwa na watoto.
Nb kula vizuri kwanza nda uanze kulipia ada ya mamillioni, usijiumize kwa ajiri ya ada za watoto
Unaweza ukawa na muda na watoto halafu wakakutupa uzeeni. Kuna kitu kinaitwa utu, watoto wakikosa utu usitegemee watakutunza ukiwa mzee hata kama uliwapa muda wako na maisha mazuri.True mkuu, Bond ni moments na kama mtoto kila anachokumbuka kuhusu wewe ni kutokuwepo home bila kuwapa muda hata ukirudi, bond haiwezi kuwepo. Shukrani mkuu 🙏🏽🙏🏽
Tatizo ukiuza hutapata mteja hadi kuwe na ruhsa ya mkeKafa kizembe sana. Yaani watoto wanitese wakati Nina nyumba ya million 3000+ dadeki nauza naenda nunua kajumba ka chumba na sebule kwa m hata 25 inayobaki namkula na kutibiwa mpaka ntakapokufa kishujaa.
Sitakagi ujinga mm
Mkuu hata mimi hilo jambo linanikera sana, nadhani shule walienda kusomea ujinga...Yaani mimi nikisoma chapisho hapa JF nikiona tu muandishi hajui kutofautisha herufi.
Mari na mali huwa siendelee kusoma.
Sijui walisoma wapi?
Ushauri wa kijinga kweli.Eti 45 uza mali zako utunze pesa! How old are you? 21? Subiri ufike 45 halafu ufuate huu ushauri wako.
Soma viziri stori hii watoto wako uingereza na wengine wanamaisha yao na mke ameenda uingreza kwa watoto baba yao kabaki pekee home kqzidiwa na ugonjwa na majirani ndo wanampa msosi