Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,614
- 59,736
Na mfe tu masikini
Dunia hii kila mmoja apambane na maisha yake tu
Huku wazee tukistaafu ndio tunauza nyumba zetu na kuhamia sehemu zingine hata iwe nchi tofauti na kuendeleza maisha mpaka mwisho wa siku
Siwezi kutegemea hata siku moja hela za mwanangu ila mimi ndio nawasaidia bado kwa hali na mali ingawa wanafanya kazi
Watoto watakuwa watoto tu na wife tunamaliza nae maisha au nitangulie au atangulie maana huyu ndie tulikuwa nae miaka yote kwa raha na tabu
Najua ni kama ndoto kwa wengi wanaoona wanawake ni wabaya