Watu wako 45 ndo kwanza wanajitafuta halafu mleta mada analeta habari ya kuuza mali?? Mali ipi, uliyoipata lini?Eti 45 uza mali zako utunze pesa! How old are you? 21? Subiri ufike 45 halafu ufuate huu ushauri wako.
Kama siyo mwanasiasa 45 inafika hata basic needs hujakamilisha.