Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,934
hizi stry zingine za kuunga unga ..mtu ijenge nyumba ys 300m ushindwe kuwa na bima kubwa kweli?🚮Ni ushauri mzuri
Japo kwa mfano uliotupa; kama huyo baba alikuwa Manager kama ulivyo andika Inamaana hakosi walau laki nane na kuendelea ya Pension kila mwezi.....na pengine kard ya matibabu ya NHIF