Wanaume Ili awe chombezo la moyo wako pekee ni sifa zipi mnazitaka awe nazo ??

mbu samahani nimekosea kusema nyie wanaume ndo mlivyo ..masahisho baadhi ya wanaume ndo walivyo

umeniforgive ??
Kweli kabisa wanaume ndivyo MLIVYO period, nikifikiria kuolewa I question myself so many questions till I quite the idea. Mama yangu.
 
mbu samahani nimekosea kusema nyie wanaume ndo mlivyo ..masahisho baadhi ya wanaume ndo walivyo

umeniforgive ??
Mama wa Ikulu,katika hili Mbu umemwomba msamaha wa nini,hebu u withdraw mara moja. Haiwezekani mtu a advocate uzanga kisha wewe umwombe radhi. Kwani mapokeo katika jamii yanafundishaje kuhusu zinaa?
 
Mama wa Ikulu,katika hili Mbu umemwomba msamaha wa nini,hebu u withdraw mara moja. Haiwezekani mtu a advocate uzanga kisha wewe umwombe radhi. Kwani mapokeo katika jamii yanafundishaje kuhusu zinaa?

Bishanga labda kuna wanaume wengine hawako kama hao niliowauliza kwanini wanatamanitamani labda mbu ni one of them ..:)

wewe Bishanga ukoje kitabia?
 
...binamu nimeudhiwa aisee, natoa donge langu humu! ...nisije 'likanipalia' halafu nikafanya kweli buree... :mad:

...hata wanaume hivyo hivyo mamie, Mumeo akianza kutoka nje jua amevumilia vya kumtosha, lishamfika shingoni...
Pole Mbu, ila i think i like your woman. haeheeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom