Wanaume Ili awe chombezo la moyo wako pekee ni sifa zipi mnazitaka awe nazo ??

Mkuu ndo maana nachukia homeworks hadi leo....mi nimesoma primary zile za kina Kayumba, hakuna homework! Nimekuja kuzifahamia ukubwani...ndo maana hadi sasa napendaga kumaliza kazi papo kwa papo kiongozi....hakuna kusubiri...lol

You have made my day mkuu. Ngoja nami nisepe nikawahi kaserengeti ka baridi. Watanimalizia watu.
 
Will try, Chrispin my waif wako huwa haji huku jamvini, hali ya hewa isije ikabadilika.

Hilo lisikustue. Huwa napanga mambo yangu kisayansi. Ngoja jamani nami nisepe, nikawahi kaserengeti ka baridi mitaa ya kati Tegeta. Karibuni tuinjoi wikiendi.
 
You have made my day mkuu. Ngoja nami nisepe nikawahi kaserengeti ka baridi. Watanimalizia watu.

hahaha sawa kiongozi..naona Fidel leo sijui kaanzia huko huko kabisa....mimi leo ninzinywea ndani..nina homework nzito..u know what I mean....safe drinking!
 
hahaha sawa kiongozi..naona Fidel leo sijui kaanzia huko huko kabisa....mimi leo ninzinywea ndani..nina homework nzito..u know what I mean....safe drinking!

Wapwa geoff, nguli na Fidel leo wako mitaa ya Baruti wanafanya kibarua cha kumtafuna mnyama. Kesho chama kitakutana Tegeta kukamilisha ratiba. Unakaribishwa kundini. Hahaha! Kweli enzi za primary ulikuwa hupendi homework..... Homework za ukubwani achana nazo.... Yaa I know what you mean. Hahahaha binamu sikuwezi. Eti safe drinking?! Usisahau kuvaa ile kitu kwa ulimi hahahaha! Guday pal.
 
lol mkuu watakuwa kwa jeni pale korogwe, nahisi Fidel ana hisa pale..enjoy ur weekend,,

LFlower, tuliishia wapi vile?
 
firstlady,unaonekana unataka kuwa mpana kwenye mambo hayo
kwa hakika inategemeana na mwenzako kama anakuwa na mambo mapya,kwa hiyo kila mmoja anatakiwa kujitahidi kumuonyesha mwenzie
lakini hata hivyo ni vyema pia kama mtakuwa mnadiscuss na kusaidiana,hakuna aliyezaliwa anajua haya mambo,
 
Kumbe na nguvu za ziada zinahitajika :D

Naam FL1, lakini nguvu hizo zisiwe za miti shamba, unaweza kumpa penzi la nguvu tu na kuonyesha kujali kwa kiasi cha juu sana na hatimaye kutimiza lengo lako.
 
wanaume kwa asili wanapenda kupendwaa na kuheshimiwaa tuuu..

mengine ni kupanua mjadalaa tuuuu..tmeshuhudiaa ndoa zilizodumu kwa miaka zaidi ya 70 kwa mwanamke kumpenda na kumheshimu mumeweee.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom