Wanaume Ili awe chombezo la moyo wako pekee ni sifa zipi mnazitaka awe nazo ??

Kuna baadhi ya wanaume ni viumbe vya ajabu, hata apate mwanamke mwenye tabia nzuri, sura nzuri, umbo zuri na elimu lakini bado atachomoka kwenda nje. Hivi viumbe kuridhika ipo tabu.

Mi bado tu sijapata mwanamke bora kama wewe nadhani hata ukiamua kunifuga is okay.Na je wanawake wanaotest nje nawao ikoje?
 
Mi bado tu sijapata mwanamke bora kama wewe nadhani hata ukiamua kunifuga is okay.Na je wanawake wanaotest nje nawao ikoje?

Ukiona mwanamke anatoka nje ujue amevumilia vya kutosha hadi limemfika shingoni.
 
Dah, mkuu ndo kuisha kwa mfungo ama nini..hebu taratibu na hizi 'kauli' tusije tukajikwaa bure!

...binamu nimeudhiwa aisee, natoa donge langu humu! ...nisije 'likanipalia' halafu nikafanya kweli buree... :mad:

Ukiona mwanamke anatoka nje ujue amevumilia vya kutosha hadi limemfika shingoni.

...hata wanaume hivyo hivyo mamie, Mumeo akianza kutoka nje jua amevumilia vya kumtosha, lishamfika shingoni...
 
...binamu nimeudhiwa aisee, natoa donge langu humu! ...nisije nikazidiwa halafu nikafanya kweli buree... :mad:

...hata wanaume hivyo hivyo mamie, Mumeo akianza kutoka nje jua amevumilia vya kumtosha, lishamfika shingoni...

Tatizo hawataki kuukubali ukweli huu.
 
Wanaume ni mwanamke gani mnayemtaka na awe na sifa gani ili muweze kutulia katika mahusiano yenu ??mnahangaika sana ukiona mrembo kakatiza huishi kugeuza shingo
1. Umbo zuri namba 8 macho ya mviringo
2. Sura 50/50 tabia njema
3....
4....
5....
10....

FL1

hicho kifaa kwenye avatar yako balaa!
 
...binamu nimeudhiwa aisee, natoa donge langu humu! ...nisije 'likanipalia' halafu nikafanya kweli buree... :mad:

...hata wanaume hivyo hivyo mamie, Mumeo akianza kutoka nje jua amevumilia vya kumtosha, lishamfika shingoni...

nyie wanaume hamna cha uvumilivu wala nini
kuna mmoja hapo amesema anataka kutest kila mwanamke aona anakuwaje
 
nyie wanaume hamna cha uvumilivu wala nini
kuna mmoja hapo amesema anataka kutest kila mwanamke aona anakuwaje

..Generalization hiyo, na hapo ndipo mnapokosea.... kosa dogo tu utasikia wanaume ndivyo walivyo,...

anyway si kosa lako, 'you are wearing different shoes from us!"
 
...mwanamke yeyote yule atayekuwa na sifa tofauti na mama watoto.

...i.e, hata mama watoto akiwa na sifa zote, mwanamke yeyote (iwe ni house girl, Barmaid, changudoa, secretary, co worker, hata intern kama Monika Lewinsky etc) almuradi mwenye sifa tofauti na mke, anavutia!

Habari ndio hiyo!
kazi ipo! asante FL kwa hii mada.
 
..Generalization hiyo, na hapo ndipo mnapokosea.... kosa dogo tu utasikia wanaume ndivyo walivyo,...

anyway si kosa lako, 'you are wearing different shoes from us!"

mbu samahani nimekosea kusema nyie wanaume ndo mlivyo ..masahisho baadhi ya wanaume ndo walivyo

umeniforgive ??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom