Anachokisema mtoa maada kina ukweli kiasi kikubwa sana,,Kuna kipindi nilipata madhila ya kupoteza kibarua changu nilichokua nimeajiriwa,,ikapelekea mimi kuingia kwenye Kazi ya udereva boda boda ukizingatia nilikua nina pikipiki yangu niliyokua naitumia kwaajili ya kuendea kazini pamoja na movement za hapa na pale mjini.
Nilifanikiwa kujiunga na hii mitandao ya BOLT na UBER, Hivyo kuna wakati nikawa nakesha hasa siku za IJUMAA, JUMAMOSI, NA JUMAPILI.
Anyway to make it short wakuu ni kwamba,,kwa kipindi chote hicho nilichokua nafanya kazi ya bodaboda hasa zile siku nilizokua nakesha naweza sema kwamba nilibahatika kutembelea maeneo mengi sana ya starehe hapa mjini pamoja na chocho nyingi sana hapa Dar na hapo ndipo nilipojifunza UOZO mkubwa uliopo kwa hawa tunaowaita mademu zetu.
KITAMBAA CHEUPE, TIPS, LIQUID, KARIAKOO, POSTA, MASAKI, BUGURUNI, SINZA TAKRIBAN YOTE,,KINONDONI,,TANDIKA,,RIVER SIDE,,MBEZI BEACH KWA ZENA,,KAWE,, MAGOMENI,,MWANA NYAMALA,,KIGOGO,,MBAGALA,,KIGAMBONI aiseee list ni ndefu mno sitoimaliza yote kuitaja ,,,pote huko panafanyika ufuska wa hali ya juu mno hasa usiku siku za weekend na hapo ndipo nilipokuja kuujua ukweli kuhusu hawa mademu wanao turingia mchana lakini wengi wao usiku ni waunza NYAPU wazuri tu tena mchana tunapishana nao vizurii tu.
Kazi ya uBODABODA imenifunza mambo mengi sana pengine Mungu aliamua kunipitisha kwenye hiyo kazi ili nipate kuujua uhalisia wa maisha wanayoishi watu mida ya Usiku hasa wanaweka,,naweza kusema kwamba mie kwa sasa Kiumbe anayeitwa mwanamke hanistui wala kunibabaisha hata kidogo tena hawa wanawake zetu wa Dar ndio kabsaaa hawezi kunitisha na vijimisimamo uchwara japo siyo wote na pia wapo bado wanawake wanaojielewa,, ila wengi wao hamna kitu aisee,,,na siku nikitaka kuoa aisee nitafanya maamuzi sahihi sana nitatuliza kichwa na nyegee zangu zote halafu nitamuomba Mungu anisimamie katika hilo.
NEVER TRUST THEM BRO.