goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,839
- 13,149
HV huyu aliyepewa ndoa ni scam alimaanisha nn
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kweli enyi watoto Ni wa juz mm hyo mitandao naifahmu toka 2015 Badoo ndio kbsa. All in all ongopa San kundi kubwa la wajinga
hao bikra unawapata wapi kwa miaka hii?Kwa kifupi USIOE MWANAMKE ASIYE BIKIRA hayo utayaepuka ila mkiendelea kung'ang'ania hayo makurumbembe hilo haliepukiki
Tupe ushuhuda mtumishi😀Kama ulikuwa ni mtu usieenda kabisa club, si mbaya ila nikwambie kitu bro jitahidi walau once kwa miezi miwili tembelea hayo maeneo, fululiza weekend mbili mfululizo club zenye majina, Utanishukuru Siku Moja.
Kama hujawahi tembelea sehemu wanawake wanajiuza, unawasikia tu watu wakitamka tu mitaa mara Buguruni mara shivaz nk, usidharau sana siku moja moja tembelea kule fululiza zaidi ya mara moja, Utanishukuru siku Moja. (sijamaanisha ukanunue wanawake, nimesema tembelea kule uone wanaojiuza ni kina nani kama unawajua au huwajui)
Kuna mitandao inasifika sana kwa wanawake wanaojiuza ki ukweli kuna haka kamtandao kanaitwa TAGGED au Badooo na mingine mingine, Fungua account kwenye hiyo mitandao Peruzi, pitia pitia, Utanishukuru Siku Moja.
Kwanini nashauri haya kwenu wanaume?
Hawa wanawake tunaowaamini sana na kuwaona wanashinda kanisani kwenye mazoezi ya kwaya muda wote si watu.
Tunawapa watu mioyo yetu ambao hata hukustahili kumpa hata ukucha lakini unampa moyo kabisa.
Unatesekea mwanamke miaka na miaka anakukazia ila usiku anaenda kuigawa bure kwa 2000 na dau chini ya 10k.
Unakaa na mwanamke kila ukimsogelea anashika simu yake unaona yuko insta,Bro ame minimize tagged,ukitoa jicho ana maxmize anaendelea na yake kajiweka huko anauza kwa dau chini ya 100k.
Wanaume msipo janjaruka sasa hivi mtakuja jilaumu huko mbeleni, usione soo kuingia hayo maeneo niliyokutajia Utakuja nishukuru siku moja.
Mpaka naandika haya Naogopa wanawake serious nawaogopa kwa sasa, never trust them na wanaume wenye wapenzi/wake wenu Sijui niwambia muwaombee sana ila hapana Maombi hayafanyi kazi kwa mtu ambae hayupo tayari lakini nachoweza wambia ni kwamba "Wanaume jichanganyeni sana" msibweteke.
Watoto zetu/wake zetu/Ndugu zetu/wazazi wetu wanaendesha maisha kwa style mbaya mno huwezi amini macho yako.
Wanaume narudia kusema Usipuuze kama unajipenda na unawapenda wanaokuzunguka.
Mimi nimemaliza, kama hujaelewa itafika siku utaelewa maana ya TAX BUBU aliyoimba Matonya.
Duh ndo meskia Leo mkuuMitandao n mingi huwezi ijua yote hasa,ila kuna mitandao inajulikana sana
ila kutokana na kinachoendelea huko huwezi kuta mtu anataja taja anaogopa
watu mtaanza muuliza kajuaje,hvyo wengi wanaojua wanamezea inapelekea wengine
wasio na time wasijue ila kama mpekenyuzi na ukiskia kitu hukiachi juu juu lazima ungekuja ujua tu.
Safi San pendaeli nimependa comment yakoCONTROLA siku nyingi ndugu sijakuona hapa jf , ama ni mimi nimepotea ama ni wewe, yote ya yote nafurahi kusoma bandiko lako tena.
Nikirudi kwenye mada nadhani muda tunapoteza kutaka kuwajua wanawake ni heri tufanye mambo mengine mwanamke ni kiumbe tata sana karibu kuliko viumbe wengine wote.
Hao ndio binti zetu, ndio mama zetu, ndio shangazi na bibi zetu lakini haki tusishike kujua who are they
Tuendelee kupambana na umaskini, pengine wakati mmoja maisha ya binadamu iwe mwanamme au mwanamke yatarudi kwenye mstari sahihi.
anataka watu waende jela tu uyu maana bikra ni wanafunzi tena wa shule ya msingi.hao bikra unawapata wapi kwa miaka hii?
Asante brother.Safi San pendaeli nimependa comment yako
Mwaswal ya kuwa chunguza wanawake na kuwasema Seema huku ukijuwa kbsa kuwa wew umezaliwa na mwanamke na mam ako amezaah wadogo zako wa kike ambao nao wanafanya umalaya siyo sawa Ni vyema ikumbukwe kuwa Hawa wamama tuawache tu hvyo hvyo huku tukijifunza mbinu za kuhishi nao kwa akili zaid
Pendaelli
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mpk Sasa wewe unamiliki migodi mingapi mkuu?Yaani unaacha kuwashauri watu kutembelea sehemu zenye madini unashauri watembelee upuuzi. Sasa huo muda wa
Miwili. Na wewe unamiliki mademu wangapi?Mpk Sasa wewe unamiliki migodi mingapi mkuu?
AiseeKuna manzi wangu mmoja ni mtu ww ibada sana,lakini nmegundua anajiuza.nimewapa namba washikaji zangu wawili wamepita nae na hajui kama najua, tukiwa pamoja full kupretend ananipenda kumbe mm namchora tu na washikaji wamerekodi mpaka wanavyomla.
🤣🤣🤣🤣🤣Kwa kifupi USIOE MWANAMKE ASIYE BIKIRA hayo utayaepuka ila mkiendelea kung'ang'ania hayo makurumbembe hilo haliepukiki
Sina hata mmoja,ni mwendo wa kujichukulia hatua mkononi/kupanda mnazi kwa mkono mmoja.Miwili. Na wewe unamiliki mademu wangapi?