azyzy omary
JF-Expert Member
- Dec 8, 2020
- 874
- 1,309
Huwa I inalipiwa hiyo mitandao au n bure tuNimempa lift mke wa mchungaji, nikamuona anaperuzi Tagged, nilichoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa I inalipiwa hiyo mitandao au n bure tuNimempa lift mke wa mchungaji, nikamuona anaperuzi Tagged, nilichoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee Mungu akuongoze Ila nashauri Kama una kijijini kwenu Rudi ongea na wazee wakupe ushauri.Anachokisema mtoa maada kina ukweli kiasi kikubwa sana,,Kuna kipindi nilipata madhila ya kupoteza kibarua changu nilichokua nimeajiriwa,,ikapelekea mimi kuingia kwenye Kazi ya udereva boda boda ukizingatia nilikua nina pikipiki yangu niliyokua naitumia kwaajili ya kuendea kazini pamoja na movement za hapa na pale mjini.
Nilifanikiwa kujiunga na hii mitandao ya BOLT na UBER, Hivyo kuna wakati nikawa nakesha hasa siku za IJUMAA, JUMAMOSI, NA JUMAPILI.
Anyway to make it short wakuu ni kwamba,,kwa kipindi chote hicho nilichokua nafanya kazi ya bodaboda hasa zile siku nilizokua nakesha naweza sema kwamba nilibahatika kutembelea maeneo mengi sana ya starehe hapa mjini pamoja na chocho nyingi sana hapa Dar na hapo ndipo nilipojifunza UOZO mkubwa uliopo kwa hawa tunaowaita mademu zetu.
KITAMBAA CHEUPE, TIPS, LIQUID, KARIAKOO, POSTA, MASAKI, BUGURUNI, SINZA TAKRIBAN YOTE,,KINONDONI,,TANDIKA,,RIVER SIDE,,MBEZI BEACH KWA ZENA,,KAWE,, MAGOMENI,,MWANA NYAMALA,,KIGOGO,,MBAGALA,,KIGAMBONI aiseee list ni ndefu mno sitoimaliza yote kuitaja ,,,pote huko panafanyika ufuska wa hali ya juu mno hasa usiku siku za weekend na hapo ndipo nilipokuja kuujua ukweli kuhusu hawa mademu wanao turingia mchana lakini wengi wao usiku ni waunza NYAPU wazuri tu tena mchana tunapishana nao vizurii tu.
Kazi ya uBODABODA imenifunza mambo mengi sana pengine Mungu aliamua kunipitisha kwenye hiyo kazi ili nipate kuujua uhalisia wa maisha wanayoishi watu mida ya Usiku hasa wanaweka,,naweza kusema kwamba mie kwa sasa Kiumbe anayeitwa mwanamke hanistui wala kunibabaisha hata kidogo tena hawa wanawake zetu wa Dar ndio kabsaaa hawezi kunitisha na vijimisimamo uchwara japo siyo wote na pia wapo bado wanawake wanaojielewa,, ila wengi wao hamna kitu aisee,,,na siku nikitaka kuoa aisee nitafanya maamuzi sahihi sana nitatuliza kichwa na nyegee zangu zote halafu nitamuomba Mungu anisimamie katika hilo.
NEVER TRUST THEM BRO.
Ndo nachokifanya kaka.kuna siku nkamtumia picha Moja aliyowatumia wale marafiki zangu akiwa naked alafu nkamwambia nmemiss hii kitu,akashtuka akaniuliza umetoa wap hii picha?nkampoza nkamwambia si ulinitumia hii umesahau dear?akajifanya kakumbuka dah nkajisemea huyu manzi ni kilaza sanaUyo dawa una mtumia,
Siku unamdump ghafla na kilio juu,
Akilalamika umemcheze, unamwonesha upuuz wake
Kutulia kipaji,na nyie kwanini mtutege kwani hamuwezi vaa maguo makubwa makubwa kama wabibi wa zamani mkatuokoa na tamaa za macho...Balaa. Ila wanaume tulieni tuu dawa iwaingie sasa mnawatafuta nini wakati mnawanunua wenyewe? Kama na ww ni mnunuzi unategemea wa kwako asinunuliwe? Hii dunia mnaiharibu sana mngetulia nyie mkawa na misimamo dunia ingekua mahali salama.
Walitazame tu,halafu waondoke?Au walifanyie kazi mkuu?Na hili nalo mkalitizame
Ule wa badoo upo..Anzisheni na uzi wa Taggedhii ni point ya msingi sana
Tagged haijawahi niangusha, muhimu ndomu, maana kumejaa UTI sio mchezo
Mkuu wengine kuanza mahusiano kwa lengo la kugonga na kusepa huwa hatuweziKitu nachokusisitiza usipende sana ww ukipata demu hata akiwa anakupenda vipi we mle tu ila usimpende hata siku ukigundua ni malaya unamtema tu bila kukuvurugia amani ya moyo
Ambao tunataka kuvuta na kuweka ndani unatoa ushauri gani...mana kuna pisi unaiona unakuta umeielewa sana hadi unatamani iwe mama ya watoto.Kitu nachokusisitiza usipende sana ww ukipata demu hata akiwa anakupenda vipi we mle tu ila usimpende hata siku ukigundua ni malaya unamtema tu bila kukuvurugia amani ya moyo
Ngoj nianze leo asante mkuu kwa kutushtua.Kama ulikuwa ni mtu usieenda kabisa club, si mbaya ila nikwambie kitu bro jitahidi walau once kwa miezi miwili tembelea hayo maeneo, fululiza weekend mbili mfululizo club zenye majina, Utanishukuru Siku Moja.
Kama hujawahi tembelea sehemu wanawake wanajiuza, unawasikia tu watu wakitamka tu mitaa mara Buguruni mara shivaz nk, usidharau sana siku moja moja tembelea kule fululiza zaidi ya mara moja, Utanishukuru siku Moja. (sijamaanisha ukanunue wanawake, nimesema tembelea kule uone wanaojiuza ni kina nani kama unawajua au huwajui)
Kuna mitandao inasifika sana kwa wanawake wanaojiuza ki ukweli kuna haka kamtandao kanaitwa TAGGED au Badooo na mingine mingine, Fungua account kwenye hiyo mitandao Peruzi, pitia pitia, Utanishukuru Siku Moja.
Kwanini nashauri haya kwenu wanaume?
Hawa wanawake tunaowaamini sana na kuwaona wanashinda kanisani kwenye mazoezi ya kwaya muda wote si watu.
Tunawapa watu mioyo yetu ambao hata hukustahili kumpa hata ukucha lakini unampa moyo kabisa.
Unatesekea mwanamke miaka na miaka anakukazia ila usiku anaenda kuigawa bure kwa 2000 na dau chini ya 10k.
Unakaa na mwanamke kila ukimsogelea anashika simu yake unaona yuko insta,Bro ame minimize tagged,ukitoa jicho ana maxmize anaendelea na yake kajiweka huko anauza kwa dau chini ya 100k.
Wanaume msipo janjaruka sasa hivi mtakuja jilaumu huko mbeleni, usione soo kuingia hayo maeneo niliyokutajia Utakuja nishukuru siku moja.
Mpaka naandika haya Naogopa wanawake serious nawaogopa kwa sasa, never trust them na wanaume wenye wapenzi/wake wenu Sijui niwambia muwaombee sana ila hapana Maombi hayafanyi kazi kwa mtu ambae hayupo tayari lakini nachoweza wambia ni kwamba "Wanaume jichanganyeni sana" msibweteke.
Watoto zetu/wake zetu/Ndugu zetu/wazazi wetu wanaendesha maisha kwa style mbaya mno huwezi amini macho yako.
Wanaume narudia kusema Usipuuze kama unajipenda na unawapenda wanaokuzunguka.
Mimi nimemaliza, kama hujaelewa itafika siku utaelewa maana ya TAX BUBU aliyoimba Matonya.
Tagged ni nyoko,kila utaemgusa anakwambia una sh ngapi,yani funga macho point yeyote yule..Halafu bora wawe wabaya.Ule wa badoo upo..Anzisheni na uzi wa Tagged
😂😂😐wanaobaka hawana smatifoniTagged ni nyoko,kila utaemgusa anakwambia una sh ngapi,yani funga macho point yeyote yule..Halafu bora wawe wabaya.
Ni pisi ambazo ukikutana nazo mtaani ukiitongoza ikikwambia jibu ntakupa MWAKANI upo radhi kusubiri hadi hiyo mwakani,ila ukienda Tagged ni pick n buy,,, wenye tagged yao wanawaita PETS hahaha
Kuna ******* wanabaka eti hadi leo....
Una nyege wewe sasa nakupa vipunguzio nyege 12Nigee na mie namba mkuu muheshimiwa
Asante sana chief?! Condom kwangu mwiko, kama kufa nitakufa tu hata kwa typhoid au malariaUna nyege wewe sasa nakupa vipunguzio nyege 12
1.0719536981
2.0693445221
3.0682125292
4.0684858670
5.0717377371
6.0759740736
7.0719822299
8.0699436150
9.0679706889
10.0683413220
11.0653686800
12.0673631312
Hapo unatakiwa uwe na condom dosen 1 hivi kwa idadi hiyo,Ukitaka kuwa Mswati wa kujitegemea Fursa unayo
siku hizi kuna dawa ukitaka usipate ngoma,unaimeza kwanza kisha unaenda cheza rough utakavyo.Asante sana chief?! Condom kwangu mwiko, kama kufa nitakufa tu hata kwa typhoid au malaria