Wanaume ichukueni hiii, kama hufanyi anza sasa

Wanaume ichukueni hiii, kama hufanyi anza sasa

Anachokisema mtoa maada kina ukweli kiasi kikubwa sana,,Kuna kipindi nilipata madhila ya kupoteza kibarua changu nilichokua nimeajiriwa,,ikapelekea mimi kuingia kwenye Kazi ya udereva boda boda ukizingatia nilikua nina pikipiki yangu niliyokua naitumia kwaajili ya kuendea kazini pamoja na movement za hapa na pale mjini.

Nilifanikiwa kujiunga na hii mitandao ya BOLT na UBER, Hivyo kuna wakati nikawa nakesha hasa siku za IJUMAA, JUMAMOSI, NA JUMAPILI.

Anyway to make it short wakuu ni kwamba,,kwa kipindi chote hicho nilichokua nafanya kazi ya bodaboda hasa zile siku nilizokua nakesha naweza sema kwamba nilibahatika kutembelea maeneo mengi sana ya starehe hapa mjini pamoja na chocho nyingi sana hapa Dar na hapo ndipo nilipojifunza UOZO mkubwa uliopo kwa hawa tunaowaita mademu zetu.

KITAMBAA CHEUPE, TIPS, LIQUID, KARIAKOO, POSTA, MASAKI, BUGURUNI, SINZA TAKRIBAN YOTE,,KINONDONI,,TANDIKA,,RIVER SIDE,,MBEZI BEACH KWA ZENA,,KAWE,, MAGOMENI,,MWANA NYAMALA,,KIGOGO,,MBAGALA,,KIGAMBONI aiseee list ni ndefu mno sitoimaliza yote kuitaja ,,,pote huko panafanyika ufuska wa hali ya juu mno hasa usiku siku za weekend na hapo ndipo nilipokuja kuujua ukweli kuhusu hawa mademu wanao turingia mchana lakini wengi wao usiku ni waunza NYAPU wazuri tu tena mchana tunapishana nao vizurii tu.

Kazi ya uBODABODA imenifunza mambo mengi sana pengine Mungu aliamua kunipitisha kwenye hiyo kazi ili nipate kuujua uhalisia wa maisha wanayoishi watu mida ya Usiku hasa wanaweka,,naweza kusema kwamba mie kwa sasa Kiumbe anayeitwa mwanamke hanistui wala kunibabaisha hata kidogo tena hawa wanawake zetu wa Dar ndio kabsaaa hawezi kunitisha na vijimisimamo uchwara japo siyo wote na pia wapo bado wanawake wanaojielewa,, ila wengi wao hamna kitu aisee,,,na siku nikitaka kuoa aisee nitafanya maamuzi sahihi sana nitatuliza kichwa na nyegee zangu zote halafu nitamuomba Mungu anisimamie katika hilo.
NEVER TRUST THEM BRO.
Dah! Changamoto sana!!
 
Tagged
Screenshot_20220927-185925.jpg
 
Mkuu wengine kuanza mahusiano kwa lengo la kugonga na kusepa huwa hatuwezi

ni lazima nikupende kwanza ndipo ntaweza kuruhusu hisia za kusimamisha mkunyenge

zije otherwise,nisipo mpenda mdada ni ngumu kum hit na ku run away Nishashindwaga.
Yani hapa kam umenilenga mimi vilee. Huwa nipo hivoo naona ngumu sana kupiga demu na kumuacha tu hasa hawa ambao umedanganyana nao kuwa nakupenda. Huo ukatili nashindwa kuufanya kbsaa
 
Wiki iliyopita nilitaka kuanzisha uzi wa kuachana rasmi na mtandao wa Tagged na kufuta account na kupotea kabsaa. Ni baada ya kukubaliana na pisi moja nikidhania naenda kutana na demu mkali saan ilaa cha ajabu huyu mwanamke alikuwa na sura ya Polygon. Yupoyupo na hajajitunza kabsaa, na nilivyomuona alikuwa ni mtu wa hali ya chini sana kwa sababu nguo zake na kanga zake zilikuwa za ovyo. Baad ya kuona simuelew ikabd nimpe hela tuliyokubaliana bila hat ya kuridhika maan alikuwa na mwili usiokuwa na matunzo kabsaa. Nikasema sitakuja tena tafuta pisi huk Tagged na nilianza kutafuta baada ya pisi yangu kuwa mbali na sikuwa nahitaj kuanzisha mahusiano na binti mwingine ni bora nitafute wa siku moja tumemalizana na niliiamini sana this app kutokana na kufanikiwa kupat wadada wazur 2 hapo kabla ambao huwez dhani kama ni wauzaji. Wengine wanasema wameolewa ila mume ndio hivyoo matunzo F kwa hiyoo mke inabid atafute plan B. Experience nliyoiona tagged unaweza kutana na mtu ambaye hata ww mwnyw utashangaa amekosa nini huyu mtu ilaa ukiachana na yule polygon aliyenifanya nifute kabsaa app.
 
Kuna manzi wangu mmoja ni mtu ww ibada sana,lakini nmegundua anajiuza.nimewapa namba washikaji zangu wawili wamepita nae na hajui kama najua, tukiwa pamoja full kupretend ananipenda kumbe mm namchora tu na washikaji wamerekodi mpaka wanavyomla.

Duh[emoji848][emoji848]
 
CONTROLA siku nyingi ndugu sijakuona hapa jf , ama ni mimi nimepotea ama ni wewe, yote ya yote nafurahi kusoma bandiko lako tena.

Nikirudi kwenye mada nadhani muda tunapoteza kutaka kuwajua wanawake ni heri tufanye mambo mengine mwanamke ni kiumbe tata sana karibu kuliko viumbe wengine wote.

Hao ndio binti zetu, ndio mama zetu, ndio shangazi na bibi zetu lakini haki tusishike kujua who are they

Tuendelee kupambana na umaskini, pengine wakati mmoja maisha ya binadamu iwe mwanamme au mwanamke yatarudi kwenye mstari sahihi.

Wewe!
Utata wa mwanamke unatoka wapi?
Ondoeni hii mindset vichwani mwenu- wanawake viumbe simple abd easy sana hawana ugumu wowote!
Ujinga, njaa , shida, uongo, ulaghai sasa ugumu wao upo wapi?

Wanawake wepesi sana- kiumbe complex ni mwanaume.
 
Mpaka saivi uchunguzi unasema bikra inayofaa kuoa Afrika mashariki ipo moja tu tena inapatikana Jamuhuri ya KENYA mdada fashionist mmoja hivi ana 30yrs hivi.

Sema kumpata sasa,ukimwambia Mambo,Anakukemea mapepo...
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom