National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,173
- 56,212
Haibadili uharisia, akininyima mie namba bado anapaluriwa tu huko😅😅bado unataka na simulizi za jamaa ila namba bado unaitaka,kuna watu mna mioyo
Haibadili uharisia, akininyima mie namba bado anapaluriwa tu huko😅😅bado unataka na simulizi za jamaa ila namba bado unaitaka,kuna watu mna mioyo
Tagged nimepanyooshea mikono,ukipekua sana unahisi unaweza kutana hata na bi mkubwa,maana kuna sura famous za ukoo mtupu hadi unajiuliza huyu kafikaje humu?Nimempa lift mke wa mchungaji, nikamuona anaperuzi Tagged, nilichoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka saivi uchunguzi unasema bikra inayofaa kuoa Afrika mashariki ipo moja tu tena inapatikana Jamuhuri ya KENYA mdada fashionist mmoja hivi ana 30yrs hivi.Kwa kifupi USIOE MWANAMKE ASIYE BIKIRA hayo utayaepuka ila mkiendelea kung'ang'ania hayo makurumbembe hilo haliepukiki
Hiyo tagged ndio nini namimi niingie huko wajameni
Hii aya imenigusa ni kunisikitisha kwa mambo ninayoyashuhudia mtaani anyway ngoja nami niende uko tagged na badoo kuona kuna niniWatoto zetu/wake zetu/Ndugu zetu/wazazi wetu wanaendesha maisha kwa style mbaya mno huwezi amini macho yako.
una moyo sana mkuuKuna manzi wangu mmoja ni mtu ww ibada sana,lakini nmegundua anajiuza.nimewapa namba washikaji zangu wawili wamepita nae na hajui kama najua, tukiwa pamoja full kupretend ananipenda kumbe mm namchora tu na washikaji wamerekodi mpaka wanavyomla.
Mitandao n mingi huwezi ijua yote hasa,ila kuna mitandao inajulikana sanaNa ujanja wangu wrote tagged nimeisikia kwako Leo
Ila jamani sio wote japo ni wengi wenye mambo hizo za kujiuza
Hapana mkuu uwa namchora tu na sijamla kità mbo sana.tuwe makini katika kuoa maana Kuna jamaa anataka kumuoa huyu kahaba bila kujuauna moyo sana mkuu
wewe osha rungu pita hivi, sema usisahau kumshtua mwana anayetaka kuoa kua demu sio.Hapana mkuu uwa namchora tu na sijamla kità mbo sana.tuwe makini katika kuoa maana Kuna jamaa anataka kumuoa huyu kahaba bila kujua
Ogopa Hilo kundiWachungaji, mashekhe, wanakwaya, na watu wanaojifanya kusali sana ni watu hatari sana kwenye jamii.