Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

ila sometimes sisi wanaume ni wapumbavu kweli yan unapata demu anayekupenda kwa dhati halafu,unamkataa kwa sababu za kishenzishenzi tu,,,et mshamba!!!!!!! halafu unataka mjanja anayekuchuna then unakuja kulalamika ooh sijui anapenda hela.....

samahani kama nimewakwaza wanaume wenzangu lakini tunaambizana ukweli tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
1Independent
2 Ana Malengo
3 Anajua Kunishaur Maisha
I love her 'cause she got her own, she got her own
I love her 'cause she got her own
She got her own (I love it when she say)
Its cool I got it, I got it, I got it
(I love it when she say) it's cool I got it, I got it, I got it (Remix)
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
[emoji116]
1 Petro 2:7
Kadhalika ninyi waume,ishini na wake zenu kwa kuwahurumia mkitambua ya kuwa wao ni wadhaifu na hivyo muwape heshima,kwa maana ninyi ni warithi pamoja nao wa neema ya uzima,fanyeni ili sala zenu zisizuiliwe.
[emoji116]
Wakolosai 3:18-19
Ninyi wake watiini waume zenu,kama ipendezavo ktk Bwana.
Ninyi waume wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao.
Bravo mkuu
 
Mimi nimewekeza kwa kibinti flan cha chuo ni kakawaida sana
Na maisha hakana mazuri kako na mama yake. Nimekafanyia mawili matatu mazuri

Lkn Jana usiku nimekaletea chips ktk kula kama utani nikamtania nilishe akakataa !
Basi Mimi nikamwambia unae unaemlisha Kama jocking tu!

Kame maind balaa!

Na amemenitext nisimzoee[emoji16] [emoji16] tuachane tu na sasa nimewekeza na tunda sijala zaidi ya kutomasana tu kikija Gheto.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuu
 
Mkuu ukioa Ili upikiwe,usafishiwe Na kufuliwa afadhali uajiri mtoto wa kazi.Mwaka huu NI wa kumi Na saba(17) katika ndoa.Tunapenda sanaaaaa tu Na tunagombana sana.Wote tunakazi akirudi kabla yangu anapika nikirudi kabla yake napika tena Kwa kufuraha.Tulivyo kutana kijijini kwa mara ya kwanza nilivyo Iona TABASAMU yake nilihisi yeye ndio mke niliyo kuwa namtafuta.
Kwa ufupi hakuna njia fupi ya mapenzi
Hongera mkuu
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kuna kitu kinaitwa nornal circumstances, under normal circustances something is not ryt.

Lakin mimi kikubwa naangalia awe less educated, hard working, kind n.k hapo ana kidhi vigezo vya kuwa mke
Less educated tena mkuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Nimeufuatilia uzi kimya kimya ili nione wanaume wenzangu hua wanaangalia nini maana mimi unaweza kunikuta na goma linatisha hadi ukaniuliza "Castr umeanza lini kufuga majini?"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama wewe kweli ni Mwanamke nyamaza usiwasemee wanaume,, mwanamme Aliyekamilika hahitaji tabia pekee,, mwanamme anahitaji mwanamke mwenye vigezo vyote vitabu 3 (1)Mzuri wa sura na shape na mzuri 6×6 (2)Tabia njema (3)mwenye hofu ya MUNGU yaani mwanamke mwenye kuweza kujishusha,, ukikosa kimojawapo ya hivyo hapo juu lazima mwanamme atakusaliti tu siyo kuwa Hakupendi hapana Bali atataka kuwa na wewe na muda huo huo akitafuta usichokuwa nacho
Swadakta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom