Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

Vizuri vinatengenezwa eti?
Ndio ile tunaambiwaga wanawake kuwa tuwatengeneze wanaume zetu maana huyo unayemtolea macho alitengenezwa na mwanamke mwenzio.
Unaweza kutengeneza weee....ukampa elimu, na kila kitu mwisho wasiku wajanja wakabeba.


Pessimistic:::::
 
Hii story ya uongo

Unataka kusema jamaa alishindwa kuhudumiwa hata na ndugu zake, akaja ex girl wake ndio aka provide all the care!!!?
Haiwezekani
 
Hakuna point mwanamke anayekupenda kwa dhati hujisikia mpweke kama kufanisha na vitu vibaya. Kama kweli unampenda kaanae kwa upole mwelekeze. Yaani atakuheshimu kama baba yake.

Lakini ukianza ku compare na wenzake ataingiwa na hofu na hatokuwa mkweli kwako kamwe
Yaani hapo ni pale unapojikuta ushaelekeza hadi umefika mwisho na hakuna mabadiliko, unajikuta unaropoka tu sasa.
 
mbona huu uzi naucheki kama nasafisha macho tu.... kwan jamaa kashindwa kupata demu mwingine... na pia kuachana sio kosa... sisi wa ndani ndo tunajua kwann tumeachana... nyie wa nje tulieni...!
Anaowapata wanamzingua tu, nae kabaki kuwa mlalamikaji.

Sasa mkuu kwani kuna alowaingilia huko ndani? Nyie kaeni tu mle mema ya nchi.
 
Wengi wanaoa mwenye umbo linalomvutia yeye tu tabia watawekana sawa, wakishindwana wanagawana fito.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Na hapo ni pale unapokuja kugundua kuwa lile umbo zuri tu halikutosha, ulihitaji zaidi ya hicho.
 
Kunyanyapaana kwa zamu dadashemeji

Mmesahau jinsi wasio na pesa wanatengwa???!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nani amewatenga? Kwani ulisikia kuna aliyekosa?
 
Unaweza kutengeneza weee....ukampa elimu, na kila kitu mwisho wasiku wajanja wakabeba.


Pessimistic:::::
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hapo ndipo akili lazima ikukae sawa.
 
Huwezi juaa tabia halisi ya mchumba wako mpaka Umuoeee...!! Yani wanapiga make up mpaka tabiaa hawa viumbe....Mungu anawaona
 
Mmmh ngoja nisimuache mwanaisha wangu [emoji125] [emoji100] [emoji100]
 
ila sometimes sisi wanaume ni wapumbavu kweli yan unapata demu anayekupenda kwa dhati halafu,unamkataa kwa sababu za kishenzishenzi tu,,,et mshamba!!!!!!! halafu unataka mjanja anayekuchuna then unakuja kulalamika ooh sijui anapenda hela.....

samahani kama nimewakwaza wanaume wenzangu lakini tunaambizana ukweli tu.
 
Back
Top Bottom