Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,649
- 33,574
Mkuu toa tabia moja unayoweza kuirekebisha?Practical guidelines to evaluate a potential wife
Angalia sifa zifuatazo wakati unachagua mke mtarajiwa
Nitaeleza kwa kifupi kama ifuatavyo...
Kumbuka herufi hizi...
A B C D E F
Age=Of about your age
Gape lisizidi miaka 10...
B=Beauty anayekuvutia
C=Character Tabia unazozikubali
D=Dignity anayejiheshimu
E=Education .....of about the same level of education.
F= Family ....Of about the same level of family status
Baada ya ku evaluate hizo sifa on a piece of paper ....l insist uwe very honest!!..mkweli na nafsi yako....
Mpe maksi....mfano labda umempa maksi 65%....sasa angalia udhaifu wake uko wapi?? Wapi amepoteza maksi 35??
Kumbuka huwezi kumpata mwanamke ambaye utampa 100%
Utakuwa unajidanganya.......
MASWALI mawili ya kujiuliza
1.Je nitaweza Kuishi na madhaifu yake??
2.Kama siwezi nitayarekebishaje??
NB: kama hayarekebishiki na huwezi kuishi na madhaifu yake...achana naye!!!!! Tafuta mwingine......WAKE WA KUOA WENYE SIFA WAPO...
Nakaribisha MASWALI.. .nitajibu kadri ya uwezo wangu.....lengo ni kuwasaidia wale walio ktk hatua ya kutafuta wake watakao dumu ktk ndoa zao....
Tunakosea sana kusema 'atabadilika'
Matokeo yake ni frustration ndani ya ndoa,
Kumrekebisha mtu mzima kazi