na kasura kidogo bhana sio unatoka na mutu unaogopa hata kumtambulisha.Uzuri wa mke si sura ni tabia.
the boss sasa unashaurije hapo? wafanye pata potea ama? kama chekundu cheupeKutafuta mke ni sawa na kutafuta kuajiri
unaweza ajiri mtu mwenye sifa kwenye karatasi ukakuta kumbe sio muaminifu
mzembe na hafanyi kazi hadi asukumwe
mwingine sifa ndogo on paper but anajituma..anaaminika na ana deliver more zaidi
kuna kuingia mkenge pia
Kikubwa ni moyo upende, hayo mengine utayasawazisha kama pencil.Kutafuta mke ni sawa na kutafuta kuajiri
unaweza ajiri mtu mwenye sifa kwenye karatasi ukakuta kumbe sio muaminifu
mzembe na hafanyi kazi hadi asukumwe
mwingine sifa ndogo on paper but anajituma..anaaminika na ana deliver more zaidi
kuna kuingia mkenge pia
Bahati mbaya wanawake tunatafutwa sasa atokee yule ambae moyo umekufa lakini yeye hajafika ki-vile.Heart want what the heart want....
Kuna kitu kinachanganya mnoo kwenye kuchagua.....
Haja ya moyo wako (kipenda roho) vs mahitaji halisi ya ndoa (vigezo halisi vinavyohitajika)....
Ukifanikiwa kupata vyote kwa pamoja your safe.....
the boss sasa unashaurije hapo? wafanye pata potea ama? kama chekundu cheupe
Kikubwa ni moyo upende, hayo mengine utayasawazisha kama pencil.
Sasa hapo mkuu moyo unakuwa haujatulia, huu moyo ni mapepe.Mioyo nayo huwa na kichaa sometimes
unaempenda leo unaweza usimpende kesho