Wanaume huwa mnaangalia nini mtafutapo mke?

[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kuna kitu kinaitwa nornal circumstances, under normal circustances something is not ryt.

Lakin mimi kikubwa naangalia awe less educated, hard working, kind n.k hapo ana kidhi vigezo vya kuwa mke
Mimi nilimaliza darasa la saba B mkuu niweke kwenye selection panel.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Kuna kitu kinaitwa nornal circumstances, under normal circustances something is not ryt.

Lakin mimi kikubwa naangalia awe less educated, hard working, kind n.k hapo ana kidhi vigezo vya kuwa mke
Iceman ndio maana nikasema usilolijua ni sawa na usiku wa kiza, issue kama hii ya ugonjwa na mambo ya ndugu nishawahi ishuhudia pia ukiachana na hii story, kwahiyo kama haijawahi kukutokea usikatae.

Pata matatizo uwajue rafiki zako na ndugu zako wa kweli,mtu anakuhudumia kidogo anachoka anadai anawahi shughuli zake zinalala. Tembea uyaone sio maghorofa.
 
Yule ambaye anasimama kama mwanamke na sio wa kike!
 
Kwakweli nimebaki ninacheka, ninashindwa cha kujibu. Seminar tutafunga nyumba tunasafiri na watoto.
Hahahaha
But uko na character nzuri elim haija ku spoil.
Sema ndio kama mtoto wetu anaitwa bashite. Utaskia una acha msg kwa whatsapp hapo

"Baba bashite plz tek care of the kidz, nime mwambie huyo mwasita(dada wa kazi), afuate ratiba ya chakula niliyo muwekea

I love u"
Kukuona hapo after a week. Aaah ndoa itakuwa ina furahisha sana hii
 
Iceman ndio maana nikasema usilolijua ni sawa na usiku wa kiza, issue kama hii ya ugonjwa na mambo ya ndugu nishawahi ishuhudia pia ukiachana na hii story, kwahiyo kama haijawahi kukutokea usikatae.

Pata matatizo uwajue rafiki zako na ndugu zako wa kweli,mtu anakuhudumia kidogo anachoka anadai anawahi shughuli zake zinalala. Tembea uyaone sio maghorofa.
Nina ndugu wachche pengine kuliko wote duniani, but naamini nikiumwa ndugu wasipo nisaidia then akaja ex gf. Hao ndugu woote ni wa kutupa huko. Lawama kwa current gf zitakuwa chche sana.
 
Kwan tabia nzur ni ipi? Tunayoitafuta wanaume? Na lazma tukumbuke hakuna anaeweza kubadili tabia ndani ya ndoa...atabadili mienendo tu bt tabia sio rahis
 
Nina ndugu wachche pengine kuliko wote duniani, but naamini nikiumwa ndugu wasipo nisaidia then akaja ex gf. Hao ndugu woote ni wa kutupa huko. Lawama kwa current gf zitakuwa chche sana.
Okey, ila lawama kumbe zitakuwepo ila io nyingi!! Basi sawa.
 
Je akitaka kuendelea kusoma ilihali ashakuwa mkeo?
Akiweza kujiendeleza lakin asiharibu mambo ya familia itakuwa poa. At least akafika diploma
Ila sasa siyo anaenda Phd kwani anataka kuja kuwa nani?
Ki ukweli wanawake wapenda shule are likely to be bad moms/wives
 
Du sasa nimemaliza darasa la saba B, mpaka nikipata Diploma Bashite atakuwa secondary.
 
Back
Top Bottom