Haha ukaishia labor ward[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Safari ya Dubai.
Kulala[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sasa unakwenda wapi?
Na Beyoncé anapendwa na wengi.Whoopi Goldberg hata umtunze vipi hawezi kuwa kama Beyonce!
HahahahaWewe wasema, subiri yakukute ndio utajua undugu ni zaidi ya damu.
Siwezi kukaa huku niko mpweke sana, sina mwenza.[emoji1] [emoji1]
Big up mkuu, kuna faida gani ya kuoa mzuri kama malaika lakini ukirudi nyumbani unakuta nyumba chafu, hajapika, siku nzima alikuwa kitandani akitoka whatsupp anainga instagram.
Hongera.Mkuu ukioa Ili upikiwe,usafishiwe Na kufuliwa afadhali uajiri mtoto wa kazi.Mwaka huu NI wa kumi Na saba(17) katika ndoa.Tunapenda sanaaaaa tu Na tunagombana sana.Wote tunakazi akirudi kabla yangu anapika nikirudi kabla yake napika tena Kwa kufuraha.Tulivyo kutana kijijini kwa mara ya kwanza nilivyo Iona TABASAMU yake nilihisi yeye ndio mke niliyo kuwa namtafuta.
Kwa ufupi hakuna njia fupi ya mapenzi
Hahahahhaa kama lubaKwakweli mgande tu.
Umeua kiongozi!!Whoopi Goldberg hata umtunze vipi hawezi kuwa kama Beyonce!
Aiseee kwa ujinga ulio ufanyaMimi nimewekeza kwa kibinti flan cha chuo ni kakawaida sana
Na maisha hakana mazuri kako na mama yake. Nimekafanyia mawili matatu mazuri
Lkn Jana usiku nimekaletea chips ktk kula kama utani nikamtania nilishe akakataa !
Basi Mimi nikamwambia unae unaemlisha Kama jocking tu!
Kame maind balaa!
Na amemenitext nisimzoee[emoji16] [emoji16] tuachane tu na sasa nimewekeza na tunda sijala zaidi ya kutomasana tu kikija Gheto.
Nilimshawishi kwa kila namna alikataa! Dah hayo madharau sitayakubali ntaanza kumzarau Mimi alafu ni Jirani next door!!Aiseee kwa ujinga ulio ufanya
Mwenywe yan hutaamin
Madharau atakayokuonesha
Mtt anakileta ghetto na unamwacha
Tu hvo anarud na ngenye zake
Usilolojua ni sawa na usiku wa kiza.Hahahaha
Na kwambia nilicho jifunza hao ndugu ndio wauaji. Haiwezekani kuwa jamaa mpaka aje ex, je angekuwa hajawahi kuwa na mpenzi wangefanyaje?
Ndio maana nikasema hapa kuna blanda kwenye hii story
Nimeipenda hii.Mkuu ukioa Ili upikiwe,usafishiwe Na kufuliwa afadhali uajiri mtoto wa kazi.Mwaka huu NI wa kumi Na saba(17) katika ndoa.Tunapenda sanaaaaa tu Na tunagombana sana.Wote tunakazi akirudi kabla yangu anapika nikirudi kabla yake napika tena Kwa kufuraha.Tulivyo kutana kijijini kwa mara ya kwanza nilivyo Iona TABASAMU yake nilihisi yeye ndio mke niliyo kuwa namtafuta.
Kwa ufupi hakuna njia fupi ya mapenzi
😀 😀 😀 😀 😀Nilimshawishi kwa kila namna alikataa! Dah hayo madharau sitayakubali ntaanza kumzarau Mimi alafu ni Jirani next door!!
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Usilolojua ni sawa na usiku wa kiza.