Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,044
- 5,115
Wa Kigoma.Hatuongei biology tunaongea mapenzi. We wawapi wewe
Wa Kigoma.Hatuongei biology tunaongea mapenzi. We wawapi wewe
Hongera mkuu
Uzuri wa mke si sura ni tabia.
Mwaume kuwa na hekima muhimu pia. Sio kilakitu ukiona unasema. Vingine unanyamaza tu
Hata akiwa na tabia mbaya kiasi gani mradi tu ana tako la kufa mtu na sura ya kuvutia sana wewe moyo na akili yako vimeridhika!
Ni wanawake wachache sana wana uelewa kama wa bibieAliona mbali dada wa watu kuwa jamaa huruma ndio imefanya atake kurudiana nae ila hana upendo wa dhati kwake, kwahiyo hakutaka kuigia mkenge.
Wanapenda short cut na ready made.
Tabia nzuri haitonisaidia chochote.. Mi mwenyewe bonge la handsome halafu tabia yangu hainiridhishi...
Mie naona tofauti yetu ni vikojoleo tu ila vingine tuko mlemle maana hata wao wangekuwa wanawake ingekuwa the same, we shud understand our differences and embress them.Kisha wanalalamika sisi tunapenda mwanaume ready made na mwisho wa siku wote tuko sawa tu.
Tofauti yetu ni kuwa sie tunaonekana tunapenda materials na kumbea wao wanapenda mengineyo.
Ntakutumia Wasap hahaKhaaaah huo uchoyo mkuu.
teh teh ata ww dr love pimbi umepata cha kujifunzaSio yeye tu.. Wote humu JF tumepata cha kujifunza
Niache !! Stakiteh teh ata ww dr love pimbi umepata cha kujifunza
Kunitengenezea fresh juice.Kubusu ndio kufanyaje my kaka?